goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Baba kupika jumapili ni sawa na mamba kwenda baharini.



We unabana utafikiri JJMP![]()
![]()
![]()


mkuu nitake radhi kidogo...nampenda ndo maana nafanya hivyo.Kidogo unamuachia anampa salamu mchepuko.mkuu nitake radhi kidogo...nampenda ndo maana nafanya hivyo.

Michepuko yake anaonana nao ktkt ya wikiKidogo unamuachia anampa salamu mchepuko.![]()
![]()
![]()

Mbona ni kitu cha kawaida mkuu.Yani siku ikitokea hivyo basi majiran wote wataaandika gazeti.
Ndo ashakua bushoke
To be HER MRS..??? Kwa style hiyo do maana unamuona her..!!!Mhehe wangu kwanza Nguo anafua mwenyewe.... ! Alafu jioni ya Leo alienda kunyoa salon akakutana na mkalifya, kesho ataupika mwenyewe....! Love to be her Mrs.
Mimi sokoni tu naweza kwenda na kupka cku mojamoja (TANGA NI KAWAIDA)Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.
Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.
Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.
Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa
Kuna watu nawafahamu hawajawahi kwenda Holiday huu mwaka wa sita sasa,Jamani huna hata holidays?
Mkifanyiwa hivyo mara 1mnazoea na mnaona ni haki yenu na mnaanza kuidai.. Haki ya kupikiwa!

Mmmh usimbane hivyo bhana...Michepuko yake anaonana nao ktkt ya wiki![]()

Mmmh usimbane hivyo bhana...
Mchepuko wake mwingine mwanafunzi jumapili ndiyo anayo nafasi.![]()


nitamuacha siku moja moja.