Wanaume tunapenda kula chakula mlichopika

Wanaume tunapenda kula chakula mlichopika

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.

Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.

Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.

Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa
 
Kuna vingi vya kubembeleza zaidi ya kuingia jikoni!..
 
Mhehe wangu kwanza Nguo anafua mwenyewe.... ! Alafu jioni ya Leo alienda kunyoa salon akakutana na mkalifya, kesho ataupika mwenyewe....! Love to be her Mrs.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom