Wanaume tuna tabu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume tuna tabu.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mateka, Apr 19, 2012.

 1. M

  Mateka Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  indian.jpg

  Yote hii ni kwa ajili ya nanii......
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyo kafanya hivyo kupata ujira sema wewe umeenda mbali
  OTIS
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Jamaa anawekeza hapo usidhani anafanya huo msaada bila malengo. Huo wema si wa kawaida lazima malipo yake yatakuwa mazuri saaaaaaaaaana
   
 4. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kumbe umeonaeee?
  Asilaumiwe ntu hapo. Mbona anafurahia. Malipo sio lazma iwe pesa babuee! Wana makubaliano yao ati.
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wakati wa mafuriko huku mitaani kwetu vijana wanajiajiri kubeba kinadada kuwavusha kwenye maji
  Wabongo wakiona picha kama hiyo hawakawii kusema true love,limbwata etc
  Kumbe mtu yupo busy anasaka shekeli
  OTIS
   
 6. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Shape za dademu wa ukoo hizi zinaruhusu.....Demu wa kibongo hapo (Vitambi vya bia) lizima ukalazwe MOI. kiuno huna wala kuzalisha tena kutakua mashakani!
   
 7. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Kuna wengine wanabeba watu kuwavusha mvua zikinyesha mjini.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mvumilivu hula mbivu:blabla:
   
 10. B

  BLB JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hii ki2 hii ki2 hii ki2,
  hii ki2, hii ki2
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ndiyo njia ya kweli na uKAVU. Mtu hutafika upande wa pili ila kwa Njia ya YEYE.
   
 12. N

  Nationalist Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana hawawezi kuvuka hapo?
   
 13. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Halfu huyo jamaa mbona kavaa gwanda la CCM? Ndugu yake Rostam nini?
   
 14. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ajira mbona hata bongo ipo? wakati wa masika watu huvushwa kwenye madimbwi kwa bebe ngongoni kama watoto.
   
 15. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  mwenyewe nashangaa au kwa vile rangi nyeupe?mbongo kama mie hapo navuka hata mara 20
   
 16. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mapenzi sio mabusu tu, hata kwa hilo ni ishara ya penzi la dhati na ahadi ya kulinda. Kwa nini apate shida ya kutegua mguu wakati mi nipo?
   
 17. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Duh!Hii too much aisee!!
   
 18. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 868
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Chek wnavyochekelea..hawa watu sometimez hawana huruma kabisa!Ndo kwaaanza wanasaidiana...
   
 19. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubali wanaume kweli tunashida!! yote hii ni kale kamshahara, si unakajuaaaaaaa!!
   
 20. h

  handboy Senior Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli!
   
Loading...