Chungumoto
Member
- Mar 25, 2015
- 21
- 1
Mh hapo utachoma mahindi sana potezea Tu huku kupenda ni shida sana unayemlilia we we hata hana habari na we we lakini nayeye anakesha anamlilia mtu ambaye hana habari naye.
Sio kila mtu ni mtu wa simu
wapo watu simu sio hobby....
Ukitaka kujua mtu ana nia na wewe au la
ishi nae nyumba moja
Mtu ambae haonyeshi ushirikiano na wewe hata kama unamtongoza unatakiwa kuachana nae.
hahahahaaaha. Hawabwatu shida sana unaweza kutamani umuue kabisa halafu akija kukumbuka too late anaanza kukusumbua na matext wakati alikuona we lofa ba pumbavu.Umenikumbusha kuna mdada nlikaa nae seat 1 tunaelekea tabata sasa nikawa nampigisha stor hata haonesh kuwa anasikiliza nikasubiri ashuke na me nikashuka nikamtia vibao huez kuamini mpk nlijishangaa
usiwe na haraka mda wake ukifika atakolea tu tena hukupaswa kuuliza why hakupigii jifanye umelizika mpe hela mpigie mara kwa mara atajiongeza tu usipende kumgombeza kwa jambo dogo
sasa kanunua simu ya kazi gani?
Wewe kama nani una muamulia mtu jinsi ya kutumia simu yake?
Yes amenunua simu, so? Unisumbue kisa nina simu?
Sio kila mtu ana hobby ya kushikashika simu kila saa.
emh kosea kutuma mpesa kwake... afu uone kama ataendelea kuchuna!!! mkono mtupu haulambwi
Embu kwanza unamtumiaga vocha??????
Wasalaam!
Nimerudi nyumbani takribani siku si nyingi toka chuo (nimemaliza), sasa katika pita pita zangu nikamuona binti mmoja mzuri na anafaa hata wakati wa dhiki.
Ishu ikaja wakati wa Kampeni (kutongoza) binti akadai kuwa hapendi kuwa na wanaume wasomi nikabembeleza akakaa sawa tukaanza mahusiano. Tatizo linakuja mimi tu ndo natuma sms na kupiga ye ni kujibu tu, hapigi wala hatumi sms!
Nikaamua kukaa kimya kama siku 2 bahati nzuri nikakutana nae nikamwambia nimechoka na hali ya kupiga mimi tu kila Day! Akajibu ameacha hiyo tabia na akawa anajibu sms kila napotuma lakini ishu ya yeye kuanza kunitafuta ndo shughuli nikamuuliza kwanini unafanya hivi alichonijibu sasa."Unajua bado kupenda usijali nitakua poa''
Hadi sasa najiuliza nita "paona" kweli au ntachoma utambi bure kukimbiza upepo!
sasa kanunua simu ya kazi gani?