Wanaume tukumbushane tulipobalehe

Wanaume tukumbushane tulipobalehe

nginda

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
744
Reaction score
82
Wakati huo nilikuwa natamani kuwa na G. Friend. Ishu ya kutongoza ilikuwa hivi:

Dada mambo? (Poa).

Siku hizi mnona hatuonani? (Nipo tu)

Ndo unaenda nyumbani? (Hapana, naenda kumwona rafiki yangu)

Sasa utaniruhusu nikusindikize? (twende tu)

Nyinyi si ndo mnakaa ile nyumba nyekundue? ( Hapana tunakaa nyumba yenye rangi ya blue)

Ahaa naifahamu (poa)

sasa nilikuwa natakaaaa! natakaaaaa! natakaaa! Jana sisi baba amenunua TV (hata sisi tunayo)

Yakwenu kubwa? ( ee ni inch 32)

Ok!!!!!!!

Shuleni kwenu mnatoka saa ngapi (saa tisa)

Mwalimu wetu mkali !


(unaweza kuendelea kama unakumbuka)
 
Usijali, naomba nikupitie ukitoka shule nikusindikize home....lol
 
Kwenu mna mbwa? (hatuna)
Kwetu si tunapaka.(haya)
 
Mi nilifikiri unataka kuswema ilikuwaje siku ya kwanza ulivyo du ilikuwa je? Ni wapi? Na alikuwa nani?na sasa yupo wapi? Hata kama ni mke wa mtu.
 
Hii ni barua yangu ya kwanza kabisa ya kutongoza.

61969_442761964109_696474109_4986692_7706433_n.jpg
 
Mi nilifikiri unataka kuswema ilikuwaje siku ya kwanza ulivyo du ilikuwa je? Ni wapi? Na alikuwa nani?na sasa yupo wapi? Hata kama ni mke wa mtu.

Alikuwa binti wa mtaa wa pili na siku akatoka kuchota maji, mimi nikamzungukia, nae hakupita moja kwa moja nilipouwa ila nikamwona anatokeza barabarani kwa mbele (pembeni kuna migomba na makahawa). mimi nikamwita. akasimama. nikamwambia nije? (kufanya nini?), usinifanyie hivyo, nije (kufanya nini?). Mimi nikasema sawa bwana unanifanyia hivyoe?

kwa sasa ameolewa na ana watoto wanne.
 
Hii ni barua yangu ya kwanza kabisa ya kutongoza.

61969_442761964109_696474109_4986692_7706433_n.jpg

Darasa la pili bwana. nikaandika barua haitofautiani na hii. Nilikula bakora, nikasahau hilo zoezi hadi darasa la sita.
 
Darasa la pili bwana. nikaandika barua haitofautiani na hii. Nilikula bakora, nikasahau hilo zoezi hadi darasa la sita.

Haha haha haa. Halafu walimu walikuwa so unfair. Unamtongoza msichana anaingia laini mara ghafla mwalimu anawakamata. Adhabu anapata mvulana tuu. Msichana anaachiwa. Noma sana. Kuona hivyo, niliaamua kutongezea kitaani.

kuchota+maji+wanawake.JPG
 
Siku moja akaja binti mmoja kushtaki nyumbani. Anasema (Nginda amenipiga) kakupiga wapi. akafunika macho. nikaulizwa umempigaje (nikajibu muulizeni) wakamuuliza amekupiga kikubwa au kitoto. Mpaka leo sijui maana
 
Nilikuwa domo zege balaa !
Demu wangu wa kwanza,siku ya kwanza nilimwekea noti ya shs kumi mpya inanukia ndani ya mkebe wake bila kumwambia kitu.
Yeye alikuwa darasa la tano,mi la sita nilimsimamisha tu koridoni na kuomba mkebe wake nikaweka mapene na kusepa.
Zikapita siku 3 mzee naitafuta gia ya mdomo siioni!
Siku ya 4 tulipotawanyisha mchana nikamwita kwa ishara ya mkono. Akiwa hukohuko mbali akaropoka,
"nitakujibu kesho."
Nashukuru hakuniangusha kesho yake,baada ya kutawanyika tukabanana darasani juu ya dawati mchana kweupe! (mbona ilikuwa dakika 5 tu,hakuna kuremba). Bahati nzuri alipomaliza skuli akawa beki 3 wetu(hakufaulu),mzee wakati wa likizo nikawa namaliza ukame wote wa boarding kwake.
'Sadly' miaka 2 mbele akaolewa na kuondoka home.
Hivi sasa ana watoto 5 na wajukuu 2. Mi ninacho kimoja cha mwaka 1.
NIKIENDAGA LIKIZO KIJIJINI NA KUMUONA BADO NAM FEEL MBAYA,HASA NIKIVUTA HISIA YA ENZI HIZO !
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Jamani mimi nilikuwa domo zege hakuna mfano,nilipoluwa darasa la sita kuna mwanafunzi mmoja msichana alihamia kutoka Tanga.Msichana huyo alikuwa mmoja wa walimu katika shule yetu alikuwa rafiki wa mama yake mdogo wa huyo mwanafunzi.Sasa yule mwanafunzi alitokea kunipenda sana hasa ikizingatiwa mimi nilikuwa mtaalamu wa namba(hesabu).Yaani yule binti hakuficha hisia zake hata kidogo kwangu,kila kitu alitaka tufanye pamoja mpaka darasani wakaanza kushtuka.Alisubiri kauli ya mwisho kutoka kwangu ili tucheze mechi ya miguu minne tena isiyo na jezi.Basi nilishamgundua lakini kwa vile nilikuwa domo zege nilijiuliza nitaanzia wapi?Yule bint baada ya kugundua udhaifu wangu siku moja akaniambia leo lazima twende kwenu.Basi tuliporuhusiwa akaja nyumbani,mimi nilikuwa na chumba cha peke yangu na nilikuwa naishi na dada yangu ambaye hakuwepo silku hiyo.Alipofika chumbani alivua shati la shule na kulala kitandani.E bwana nilipoona chuchu za saa sita nilpagawa sana,uvumilivu ukanishinda nikamaliza mchezo.Huo ndio ulikuwa mchezo wetu mpaka tulipomaliza shule.Nashukuru hakupata ujauzito sijui ingekuaje.
 
Heheheheh. . .
Mi mvulana alikua akiniambia "mambo?" namjibu "chupi ya mgambo". . ."ni vipi??" = "vipisi" anageuza zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom