Wanaume tukumbushane tulipobalehe

Wanaume tukumbushane tulipobalehe

ha ha ha sisi kwetu bukoba tulikua tunasema ndakua ebijoge twajunga yaani nitakupa mandizi fulani hivi maana leo tumetengeneza pombe ya lubisi.
 
Hahahahha. . . EMT ahsante kwa kumbukumbu. Dr Love Pimbi alikua mtaalam wa kutokea.
 
Heheheheh. . .
Mi mvulana alikua akiniambia "mambo?" namjibu "chupi ya mgambo". . ."ni vipi??" = "vipisi" anageuza zake.

Watu kama nyie ndio mlikuwa mnaliwa kiulaini sana.
 
Nikiwa Primary ile vichuchu tu vimeanza kuchomoza,nikiwa nimetumwa dukani,nikakutana na mkaka mtu mzima,nikamsalimia
Mimi. 'Shkamoo'

Yeye: Unataka kuninyima nini mtoto mzuri?

Akanishika kwa ghafla chuchu yangu!!Huyo mkaka mpaka leo,simsalimii!!Nilikuwa nikimuona upande wa kushoto,mie nakata kulia!!!
 
Desparation seem to be the key to your success.
Congrats. . .
I always play kul,ukipanda me nashuka, n most of u ril like dat,so I gues u hv mistaken desparation wit inspiration.
 
I always play kul,ukipanda me nashuka, n most of u ril like dat,so I gues u hv mistaken desparation wit inspiration.

Kwahiyo ukikejeliwa ndio unakua inspired?Kazi unayo.
Hata hivyo nafurahi umetumia neno 'most' na sio 'all' maana sipo kwenye kundi linalokuinspire na kukuwezesha mwishoni.
 
Nt ril ila its bz at the begining most of u act like u don't like it bt deep inside u ril kno wht u ril want.
 
dahh, nilipewa seal nikashindwa kuitoa

sitakaa nisahau
 
Kwahiyo wewe hauna faida? Since you say it's not good for them.
I hit the freeway once I gv em wht they ril want, so once I do tht, water work is ol wht they end up duing.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom