Wanaume tujitambue

Wanaume tujitambue

Pole sana naona umeamua kutumia nguvu kubwa sana kujifariji,bila shaka kuna mwanamke kaamua kukutosa ndio maana unajipa moyo,unayajua mapenzi wewe? unaweza ukapenda mwanamke na ukamuona anakufaa na hakuna wakumreplace! hujayajua mapenzi yakweli bado.
Na mimi ndo nilichotaka kumwambia,pamoja na kuwepo wanawake wengi huwezi kuwapenda wote kwa mapenzi ya dhati.Kupiga mashine wanawake tofauti tofauti hiyo ni.kawaida sana ila mke ni kitu kingine kabisa,sio rahisi kumuacha kama unavyodhani.Itakuwa wewe bado mvulana na hauna majukumu ndo maana unasema hivyo.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Back
Top Bottom