Waongo hawana hivyo vyote wana kimoja kimojaJf watu wanajikutaga Wana pesa maisha mazuri ,yaan mwanzo mwisho wanamkandia jamaa kuumia kisa kaspend 80k dah hivi kwa maisha gan tulio nayo watz had mkejel 80k?
Wabongo kwa sifa Ni shida kutana nae live utacheka had ufe ,hiz fake I'd zinawastirisha Sana watu ndio maana kujigamba Kama kote.
Jf kila mtu ana degree km sio masters
Jf kila mtu ana ndinga .
Jf kila mtu ana mjengo.
Jf kila mtu anaspend weekend na watoto wazur kidimbwi beach ,The element,sea breeze ,
Yaan ukisikiliza kelele za jf unaweza waza kuwa pengine wewe ndie maskin wa mwisho hapa jf.
Alafu haya maisha hatupo sawa mwingine 80k Ni pesa anayolipwa mwisho wa mwez ,mwingine hiyo Ni vocha kazin kwake ,lakin huyu wa 80k kuspend hiyo pesa kwa cku mbil kwake lazima kiwe kilio Sasa nashangaa watu mnabeza.
Mwenye kipato Cha laki moja hawez honga Zaid ya ten na mwenye kipato Cha kuanzia m1 na kuendelea nae hawez honga ten bal kuanzia 100k Sasa tusibezane .
Kwa jinsi mleta mada alivyoongea kwa uchungu kwake hiyo Ni pesa ndefu Sana pengine kuliko hiyo milion ulionayo wewe.
Achen maisha ya kuigiza watanzania wengi Ni maskin wa kutupwa ,mdomo na usmart ndio vinatustiri hata humo njian .
Unakutana na bint kaulamba balaa Ila kwenye pochi yake Hana hata buku tano [emoji23][emoji23] vocha za kuombeleza huku anamilik iPhone ,fake fake fake kwa kila kitu
Hii pesa ningeisave je? Au familia yang ingefaidi km ningewapa.
Ndio ajue kuwa ukitombi ni kuzika hela kwenye mbususu.Unatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu??
Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar:
Uber 20,000 kwenda na kurudi
Chakula 30,000 siku mbili
Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana
Hotel 60,000 za bei rahis siku 2
Akiondoka unampa hata 20,000
Hii ni low bajeti kabisaaaaaa
Umeirudishaje, au umempitia denge ukamkaba ?? ..
Wakuu habari.
Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing. Msichana nimemrushia nauli, kaja kwangu kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela, kaondoka nimempa nauli.
Almost nimetumia zaidi ya 80000 kwa siku mbili..nawaza nachoka[emoji3061][emoji3061] Hii pesa ningeisave je? Au familia yang ingefaidi km ningewapa.
Maan natafakari apa nishafany mapenzi lkn sijaon nilichopata kabis zaid ya kuanz kuwaza hela yangu..afu msichana mwenyew sina naye future kabisa.
Wanaume mnatumia mbinu gani kutospend sna kwa mademu?
Sio hata kuwasha vpn kuna website za ngono zipo nyingi yani bila hata kutumia vpn
Tulia mkuu,hayo ni majuto ya kawaida ambayo kila mwanaume hupitia baada ya kupiga mabao kadhaa.Subiri nyege zikupande tena ndio utajuwa faida ya uwekezaji uliofanya.Hii 80 inayokunyima raha mkuu ni hii hii ya kitanzania ya noti 8 za teni-teni?
Umeshalala na mtoto wa watu siku 2 unamtumia asubuhi, mchana na usiku kweli unalalamika mkuu?
Wewe mapenzi hayakufai, jikite kwenye nyeto mkuu hautajuta.