Wanaume tujitafakari sana

Jitahidi uirudishe hiyo 80K kwa njia nyingine. Mfano mimi nikitumia hela kwenye starehe kama hizo kesho yake napambana nairudisha yote au angalau nusu yake. Majuzi nilikuwa na pisi moja ikanigharimu sana but now nishairudisha yote kwenye akiba.
 
Umeandika kwa makasiriko mkuu. Kijana kajitutumua kuishi maisha yasiyo yake ndo maana 80k imemuumiza ila kiukweli kabisa ni hela ndogo kutumia na baby na haikua na haja yeye kuitumia hela hiyo wakati kipato chake bado hakimruhusu kufanya matumizi ya hivyo.

Halafu mwanaume kutumia hela kwa baby ni kawaida kama anaona hawezi bora ajibanze CHAPUTA kwa muda akipata hela atafute binti
 
Jitahidi uirudishe hiyo 80K kwa njia nyingine. Mfano mimi nikitumia hela kwenye starehe kama hizo kesho yake napambana nairudisha yote au angalau nusu yake. Majuzi nilikuwa na pisi moja ikanigharimu sana but now nishairudisha yote kwenye akiba.
Na huo ndio uanaume. Ukitumia ukipata hasira pambana urudishe. Sasa kijana kutumia anataka na akishatumia anajuta anaona kama katupa hela
 
Kwahio nkikutana na ww ntacheka hadi nife?

Enewei, mwamba yuko sawa kulialia kisa katumia 80K kwa siku mbili, vivyo hivyo wanaopingana nae kwa kuona jamaa kutumia pesa ndogo pia wako sawa kwa upande wao coz hauna uhakika kuwa wanapretend au n kweli wanazo...

Ww relax, changia kilichopo akilini mwako, then kaa kwa kutulia.

Mambo ya fake ID's na maisha ya wana JF ata yasikuumize kichwa mkuu.
 
Hahaha acha kurahisisha mambo mkuu. Hakuna mbadala wa mbususu asee..

Japo nimesome kiumeni 100%, ila chaputa haijawahi kunibariki kabisa.
 
Hahaha acha kurahisisha mambo mkuu. Hakuna mbadala wa mbususu asee..

Japo nimesome kiumeni 100%, ila chaputa haijawahi kunibariki kabisa.
Maisha sio magumu kiasi hicho mkuu.
Inaonekana kwa kipato chake 80k ni nyingi kutumia kwa mwanamke. Sasa kwanini amuumize kiti kwa kumfurahisha shetani?
Afanye mambo rahisi tu, asitumie pesa yake aingie CHAPUTA akizipata nyingi atakula wadada tu.
 
Mkuu una mawazo mazuri sana. Kijana azingatie ushauri wako hakika hatokuja kulia lia tna
 
Ni kuamua kuacha tu ndiyo mbinu kubwa,kua na moyo wa kupuuzia tamaa

Ukiacha ngono za hovyo unakua umepunguza nusu ya matatizo yako ya kipato na kiroho
 
Sasa mzee una lalama 80k kweli... hii si pesa ya bia usiku mmoja... apo endelea kutafuta pesa tu
 
Ni kuamua kuacha tu ndiyo mbinu kubwa,kua na moyo wa kupuuzia tamaa

Ukiacha ngono za hovyo unakua umepunguza nusu ya matatizo yako ya kipato na kiroho
Mkuu kuna ngono za hovyo halafu kuna genye ooh. Genye zipogo tu. Halafu anaonekana sio mtu wa ngono za hovyo ni vile tu kipato hakijamkalia sawa
 
iki kinywaji cha savana kiukweli uwa naumia nikimnunulia mtu wakat mm mwenyewe apo maybe nakunywa serengeti lite
 
Hicho ulichokipata kwa mtoto wa watu ungekipata kwenye mkono wako au kwa dada zako mamaako kwa leo nitamtoa ila ukirudia huu ujinga namuweka siku nyingine
 
iki kinywaji cha savana kiukweli uwa naumia nikimnunulia mtu wakat mm mwenyewe apo maybe nakunywa serengeti lite
Wanaume mmeumbwa mateso mkuu.
Kuna kipindi nilikua nakunywa pombe kali tu. Sasa muda wa kuagiza mlipa bili alikuaga na mdomo balaa. Utasikia unaagiza pombe ya laki 2 huna hata kazi ukipata kazi si mshahara wote utaishia kwenye pombe
.
 
80 K unalialia mjomba, acha kutupotezea muda
 
Sio kubeza Wala kujikuta pesa ni yake starehe ni yake Sasa kwanini aje alalamike huku ingali anajua Kila mtu anamtizamo wake kuhusu starehe n.k pia huku kipato Cha Kila .mtu nitofauti ......mwisho wa siku ukiona analalamika jua amezidi kiwango chake Cha matumizi
 
Anakumbuka shuka kumekuchaa...jana nimekaa sehemu nanyonya zangu bia nna kama elfu hamsini kaja mtoto mmoja wa moto anajinunulia bia kajipenyeza wee kaanza nsemesha nikamnunulia round moja nikamkwepa nlijua tu nikimwendekeza gharama zitakuwa juu ijapokuwa ningeenda kumpasua ila ningeingia loss.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…