Hii 80 inayokunyima raha mkuu ni hii hii ya kitanzania ya noti 8 za teni-teni?
Umeshalala na mtoto wa watu siku 2 unamtumia asubuhi, mchana na usiku kweli unalalamika mkuu?
Wewe mapenzi hayakufai, jikite kwenye nyeto mkuu hautajuta.
Ulitaka utumie shilingi ngapi kwa siku hizo mbili za kuuchovya kutwa kucha ili roho isiume mkuuKwa uchumi wa saiv mkuu parefu apo..
Tafuta pesa kaka,.vizuri gharama.Wakuu habari..
Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing.
Msichana nimemrushia nauli,kaja kwang kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela,kaondoka nimempa nauli..
Kwenye kikao chetu wanaume hatujakubaliana hivi kabisaUnatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu??
Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar:
Uber 20,000 kwenda na kurudi
Chakula 30,000 siku mbili
Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana
Hotel 60,000 za bei rahis siku 2
Akiondoka unampa hata 20,000
Hii ni low bajeti kabisaaaaaa
Ha aahhh, hichi cha low bajet tuacheni ujingaaaKwenye kikao chetu wanaume hatujakubaliana hivi kabisa