cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 124,331
- 204,729
Inategemea, siku hizi kuna wanaume wanatunzwa na wanawake.mwanaume na mwanamke nani ana mtunza mwezie?
Inategemea, siku hizi kuna wanaume wanatunzwa na wanawake.mwanaume na mwanamke nani ana mtunza mwezie?
Sahihi kabisa,Ukiona mtu anapigana kwasababu ya mapenzi demu ujue huyo ni limbukeni.
kulikua na haja gani ya wewe kubold hayo maandishi?
dah nimecheka sana una jeuri kama ex wangu wa chuo aahahah
mimi ndio nime mgongea jamaa
Hivi,unajua mapenzi ni kama pombe tu?Hajawahi kutokea bingwa wake.Ukiona mwenzio anafanya vituko ujue wewe bado kipimo chako hakijafika.Ukiona mtu anapigana kwasababu ya mapenzi demu ujue huyo ni limbukeni.
Mwanamke akikucheat,wala huna haja ya kumuuliza wala kutaka kujua sababu,
Hutakiwi hata kujadili nae kuhusu hiyo issue,unampunguza kisha unapotea,wala asipate habari zako tena wala wewe usimfuatilie tena,
Walking away without a scene is self respect,
Sometimes silence says everything for you,
No drama,No explanation,just dignity.
Umepatia kote ila hapo kwenye kupigana umekosea. Hatupigani ila tukigundua hivyo tunapiga kibuti.kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda kuwa na wanawake wengi lakini wanapo gundua mwanamke wake au demu wake ana mwanaume mwingine wanakuwa tayari kupigana?
je ni mapenzi wivu au unafiki?
au ndio defense mechanism ina niendesha? nataka maoni nifanye maamuzi
Hiyo formula ni rahisi kwa wanaume Gentleman,kwa wavulana ndio inaweza kua ngumu.Kuna ambae kamsomesha, kamfungulia biashara n.k sio rahisi kihivyo.