Heading imenivutia nimetamani kumtag mtu [emoji28][emoji28]
Huna bahati kivipi?Kuna tuviatu twa kiume nimetuona Leo moyo umeniuma kweli....Sina roho ya kwann napenda kununulia zawadi mume wangu kiukweli....ila Ndo Ivo Sina bahati
Mimi siyo Tycoon mkuu ujueMnatumix..
We toa helaHela za safar Na semina Zina jeur sana sku iz
Kwann unasema huna bahatiKuna tuviatu twa kiume nimetuona Leo moyo umeniuma kweli....Sina roho ya kwann napenda kununulia zawadi mume wangu kiukweli....ila Ndo Ivo Sina bahati
Ndiyo uanaume huo, tafuta zingine usilaumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kifala mkuu daah unanikumbusha nilikung'uta 1.5M siku 3 tu zikakata zote ni tungi nyama tungi nyama nikitoka naenda kung'uta mtoto mmoja mwenye bonge la Tako somewhere hadi kibunda kikata
[emoji12]
Huenda ana gubu tuSiku moja utakua na bahati tu mkuu wala usiwe na hofu kuhusu hilo
Wewe ndo tatizo!Mi nikiwa moto hata kuongwa sikutaki...yaan nakuita for game.Ukiona Nataka pesa unaponiita unikule ujue Sina hata appetite ya kuliwa najilazimisha TU Ivo naomba hela Ili ughairi
🤣🤣🤣🤣Wewe ndo tatizo!
Ukimjali mwanaume anakuona, bwege nkKwann unasema huna bahati
Ila uwe na roho za kuhimili ukimfumania huyo unaye mhonga mambo ya kupigana risasi tushachoka sisiBinafsi sioni shida yoyote kuona mwanaume akilia kilio cha mbwa mwizi kwa kuibiwa bar au kukimbiwa hotel na mtoto wa kike, TUACHE kuwatupia lawama wanaume wenzetu na kuona maboya, wajinga n.k, halafu siku hizi kuna tu mada twa ajabu ajabu kweli twa kuwasema wanaume wanaohonga kuwa ni nice guys, washamba n.k!
Huu ni ushamba bhana. Hela ni zao, wanatafuta wenyewe na wana haki ya kumnyima na kumpa wamatakaye. TZ ni nchi huru na kila mmoja ana uhuru wa kutumia pesa zake atakavyo mradi tu havunji sheria.
Mwanaume hongaaa bhana. Kujenga ni maamuzi, hela inatafutwa ili wale wanawake. Hao ni mbavu zetu. Kama hiyo haitoshi dunia nzima inaendeswa na wao. Yaani wana run dunia, so lazima wale vyetu.
Na hata ukigharamia 2M+ na hujapewa papuchi usikonde, pambana tafuta nyingine coz hela inatafutwa. Usilalamike wala kulaumu huo ndiyo uanaume.
Lewa, lala baa, zima wakurudishe kwenu asubuhi, honga malaya, honga bila kugeuka nyuma ndiyo matumizi ya pesa hayo kwani unavunja sheria bhana??
Hata maandiko yanasema ni vibaya kulima na kugeuka nyuma. Honga! Honga! Honga! Zikiisha tafuta zingine kwa bidii.
Nenda viwanja, toa malaya out na mashoga zao, hivi kuna kitu kizuri kama kusifiwa na mwanamke kweli?? Hakunaaaa!
Hela ni zako. Wasikupangie bhana, hata kukopa kakope demu wako afurahie maisha. Mwanamke ni wa kupokea. Hata akiwa na 30M ndani, lazima utoe buku 2 lako mnunue viberiti muwashe jiko mpike. Lazima ukakope umuuguze.
Hela ya mwanamke ni sumu na haiguswi wanaume. Nawafunda leo.
Honga sanaaaa
Msiseme sikuwaambia.
Tusipangiane bhana kujenga kitu gani kwanza? Tunaweka heshima, heshima ndiyo muhimu bhana!
Yaani naandika hili ila mikono inawasha kinoma najisikia kutoa 500k TZS hapa kwa mrembo flani hivi amazing sanaaa.
Na na plan nimualike dinner jioni...
Tumia pesa, honga, weka heshima! Tusipangiane.
Ukimpenda sana mwanaume na kumjali sana anakuona *****Huna bahati kivipi?
Hahahah hongaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu najifariji at least kuna kitu nilifanyia kuliko ningeweka kwenye Kilimo alafu kikanizomea
Badirisha mtazamo mkuu, change sample moja uliyoitumia uliitoa kwenye mazingiraUkimjali mwanaume anakuona ,bwege nk
Ni kweli hata mwanamke ukimjali anakuona bwege tu na wengine anawapa bure. Yaani ni tit for tat nowadaysUkimjali mwanaume anakuona, bwege nk
Tumia Pesa ikuzoeeHahahah hongaaaa
SadNi kweli hata mwanaa wengine anawapa bure. Yaani ni tit for tat nowadays
Aah wapi, we honga mengine yatajulikana mbele kwa mbele. Mwaga kititaaaaa! Sambaza kititaaaaaaIla uwe na roho za kuhimili ukimfumania huyo unaye mhonga mambo ya kupigana risasi tushachoka sisi
Si ndo safi akikuona *****, sasa we ulitaka akuone katekista au?Ukimpenda sana mwanaume na kumjali sana anakuona *****