Wanaume tuamke

Wanaume tuamke

Mama atabaki kuwa mama! Ila kuna wamama mkwe ni hatari, kila kukicha kumsimanga mka mwana eti ' unakula pesa ya mwanangu, mm nisingemzaa ungempata wapi? ' hayo nimeyashuhudia kwa shoga yangu! Mka mwana kaamua kumuachia mama mwanawe kakaa kando kwanza! Wamama tuwe na huruma na wake wa watoto wetu maana na wao wamezaliwa!
 
Hii fix imetungwa na wadada wa mjini ili kuonesha kuwa hata wamama huwa wanapenda tuwapende wao.
 
Back
Top Bottom