kichapo kipi unachojivunia kumpa demu wako kinachozidi mazoezi ya ujeda. Hamna kitu ni ufala tu i see.
ah well u call it ufala , i call it utamuuuuuu. Same exercise different view points
kichapo kipi unachojivunia kumpa demu wako kinachozidi mazoezi ya ujeda. Hamna kitu ni ufala tu i see.
Naona mnaongelea mama tu, na baba vepee?
![]()
Kuna idadi kubwa ya wanaume tumekuwa kama tumeshikwa akili na wanawake/mademu maana maisha yanatupiga ila demu akiomba kitu uko radhi kuiba ili yeye afurahi,mtu anamnunulia simu au nyumba mwanamke wake wakati hata mama yake mzazi hajawahi kumpa hiyo ofa.
Nashauri tufikirie upya maamuzi yetu,tusijeonekana mabwege na kupata mikosi kwa kutowajali wazazi/mama zetu inavyostahili.
Hata kama umenogewa na u.c.h.i jali kotekote wazazi/mama na mkeo/mchepuko.
Naamini mwaka ujao wanaume tutabadilika zaidi.
Baba sina uhakika kama ni wangu