Wanaume tuache ubwege

Wanaume tuache ubwege

Kudeka nishaachaga zamani sana. Mimi ni mtu mzima sasa. Basi tu imetokea imekuwa hivyo.
Wanasemaga mtoto kwa mama hakui. Haya msalimie mama naona mshua unamcheki weekend kwa weekend
 
Ni kweli mtoto kwa mama hakui, ndiyo maana na ukubwa wote huu bado kila siku jioni hunicheki. Na kumwambia msalimie baba. Baba namcheki mwenyewe kumpa salamu. Ukiona baba ananipigia basi utamsikia njoo nyumbani kesho. Nikienda utasikia vipi maisha. Haya weka hii mfukoni.
 
Daah wee kwenu umezaliwa pekeyako? Mie kwetu ni mtoto wa kike wa pekee ila sidekezwi hivo sijui kwa ajili ya ununda wangu....
That's good nakuonea raha haya usiku mwema.
 
Tupo wawili tu. Mimi na pacha wangu wa kike.
 
''sometimes you look back at the girls you spent money on instead of your mum and you realise witchcraft is real'' ~ Robert Mugabe
 
Hiyo difference ndo inasababisha usimnunulie?

Halafu unifundishe ung'eng'e naona mwenzangu uko vizuri sekta hii, loh!

Usimnunulie nani nini? Hapa anaongelewa mama, nimejaribu kukuonyesha how a kid is cloz to mom than dad, sasa wewe waweza pia kumuongelea baba kwa jinsi yako, au kufungua uzi wa baba kabisa, teh teh teh teh!! Thats nature maaaan! Huoni hata nyimbo za mama ni nyingi kuliko za baba(km zipo) sasa waweza jiuliza why? Na kwakuwa wewe ni baba najua lazima utapata majibu.
 
Mmh haya bana
 
wanaume tumeumbwa kuwaliwaza ninyi bac kama mm namliwaza demu wangu mama ataliwanzwa na baba.
 
Mleta mada anazungumzia uzoefu wake,mi napenda sana kumjali my waif,hayo mawazo ya wachepukaji,possibly mleta nyuzi ndo walewale
 
Wakuu nahis elimu ya saikolojia mtoto wa bailojia imetupita mbali kidgo.
Mapenzi kwa binadam wenzetu hayalinganishw.
Japokuw mfano wa sim y tochi na iphone6 ni gap kubwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom