Wanaume tuache ubwege

Wanaume tuache ubwege

Hahaha kaka umenichekesha balaa...ila kweli maana vichapo tunavyowapaga ni balaaa ukiwaza jinsi unavyompindua pindua mtoto wa watu wacha tuu apate hiyo iphone

Kichapo kipi unachojivunia kumpa demu wako kinachozidi mazoezi ya UJEDA. hamna kitu ni ufala tu i see.
 
ukitaka kujua ujinga wetu rudi Edeni kamuulize Adam alikubali vipi kushikwa masikio na na kiumbe alietoka ubavuni mwake akalishwa tunda kwenye bustani aliyo kuwa anatunza mwenyewe,alafu kamuulize samson nayale maguvu yake yoote alikubalije kirahisi kisa penzi kumwambia Delilah siri zake zote
 
Hahaha... sawa mama haambiliki... a.k.a mumeo ashafariki..

Akuuu babu mie sina mumee niko singooo singolii usiipeperushieeee maana wengine hawataki wajane nimezeeka na useja wangu looh.

Ila ni kweli mama Haambiliki umejuajee? hili jina nilipewa tangu niko darasa la tano umenikumbusha mbaliii.
 
Maneno yako tu yanaonekana unadeka deka ovyo... unapenda kubembelezwa. Unapenda vitu vizuri...
 
Hahahahahaaaaa umenowaaa, mie sidekagi hata kidogo na sijaishi life ya kudekezwa hata ila napenda na nawish kudeka.
Mie ni bibi flani hivi tafu halafu mbishiii yaani siambiliki kirahisi sio kudeka bana.

You read me wrong.
 
Noo sijanona kwa sababu sijaamua kukusoma. Cheki unovyoongea alafu unakataa nini sasa. Wewe ndiyo yule ambae ukipigwa busu la shavu tuu unachora chora chini. Na ku bwenza bwenza kope.

Maana ya bibi ni demu fulani hivi. Kwenye napenzi hakuna aliye tafu hata mtunisha misuli anatulia tu.
 
Heee yamegeuka mapenzi tena!!!! kumbe kudeka inapelekea maongezi kuwa ya mapenzi ....... looh

Umeniacha kipulefuti na mbele kuna njia panda sijui nielekee kulia au kushoto.......................

Kasie is Kasie and she will keep on being Kasie............
 
Ni hivi mleta mada, mama yako siyo mpenzi wako.

Mama yako ana mpenzi pia ambaye ndiye anatakiwa amnunulie hivyo vitu, umeelewa?

Ni ujinga tu kumfananisha mama yako na mpenzi wako.
 
Umeongea jambo la maana sana. Mwenye masikio na asikie.
 
Heee yamegeuka mapenzi tena!!!! kumbe kudeka inapelekea maongezi kuwa ya mapenzi ....... looh

Umeniacha kipulefuti na mbele kuna njia panda sijui nielekee kulia au kushoto.......................

Kasie is Kasie and she will keep on being Kasie............

Wapi nimegeuza mapenzi... love is for the birds... watu na akili zao hawana hayo mambo ya mapenzi...
 
Umeongea jambo la maana sana. Mwenye masikio na asikie.
Hizi ishu mkuu huwa zinaniudhi sana.

Ni kosa sana kuchanganya hawa watu wawili. Mpenzi/mke wangu, ni jukumu langu mimi la moja kwa moja kuhakikisha nakula nini na anavaa nini, yaani maisha yake kiujumla, kijijini kwa wazee naenda kuwasabahi tu na ninapokuwa na ziada ndiyo nawakumbuka kwa vizawadi mbalimbali, wakishindwa kabisa ndiyo nalazimika kuwapiga tafu.

Mke/mpenzi wangu ataishi kufuatana na uwezo wangu mimi, na silazimiki kuhakikisha anavyoishi mpenzi wangu, basi na mama aishi vile, si sahihi hata kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: Art
Wapi nimegeuza mapenzi... love is for the birds... watu na akili zao hawana hayo mambo ya mapenzi...

By Smart911
Maana ya bibi ni demu fulani hivi. Kwenye napenzi hakuna aliye tafu hata mtunisha misuli anatulia tu.

We naona unajikanyaga kanyaga tuu, hapo kwenye red uliandikiwa au kalamu ilitereza? Maana kabla ya hapo tulikuwa tunaongelea kudeka nashangaa kiunzi kimehamia kwenye mapenzi bila mtoririko wa vina na mizani..............

Haya hapa tena umeshachanganya kuwa watu wenye akili hawana mapenzi kwa maana nyingine wenye mapenzi ni wale wasio na akili au mento flani hivi au vichaa au.......................

Kwaheri naona jumatatu yako umalizane nayo mwenyewe..........

Off to the libraly.
 
Nipo kwenye foleni. Hivi leo ni jumatatu. Khaa... siku haziendi kabisa. I wanna go watch Dolphins.
 
Hizi ishu mkuu huwa zinaniudhi sana.

Ni kosa sana kuchanganya hawa watu wawili. Mpenzi/mke wangu, ni jukumu langu mimi la moja kwa moja kuhakikisha nakula nini na anavaa nini, yaani maisha yake kiujumla, kijijini kwa wazee naenda kuwasabahi tu na ninapokuwa na ziada ndiyo nawakumbuka kwa vizawadi mbalimbali, wakishindwa kabisa ndiyo nalazimika kuwapiga tafu.

Mke/mpenzi wangu ataishi kufuatana na uwezo wangu mimi, na silazimiki kuhakikisha anavyoishi mpenzi wangu, basi na mama aishi vile, si sahihi hata kidogo.

Amebahatika aliyetoka kwenye ubavu wako if at all uyasemayo ndo uyafanyayo.

Hongera ni jambo jema kutambua na kutenganisha upendo wa mama na mke/mpenz vivo hivo akija mtoto nae ana mapenzi yake.

Hii nimeiona kwa wazazi wangu miaka hiyo wakati niko mdogo.
 
Thanks for the complement, I always trive to walk my talk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom