Nashukuru ni kweli nimebarikiwa nina mume mwenye anajua yeye ni mwanaume na ni mume.Ahsante mkuu, Nakuombea kwa MUNGU azidi kukubariki (maana najua ulishabarikiwa)
Chief, hujaweza kujua wala kuelewa kwa kuwa hujatuliza akili na kusoma kwa utuo. Mimi ni mzee, kwenye ujana nilishapita kwa hiyo usiulize kuhusu uzoefu, maana nimeshiriki kusuluhisha migogoro mingi ya wanandoa baadhi ya ndoa nimefanikiwa kuzirejeshea uhai na nyingine zilinishinda zikavunjika. (Kati ya kumi, saba zinaendelea na tatu zimevunjika)sijaweza kujua mwanzisha uzi anaongea kwa ushaidi au uzowefu gani
kwanza nawasiwasi na yeye kama ni mahusiano ndo kaanza kuyajua sasaivi labda
pia ajakutana na wanawake yeye anakutana na visichana vya kawaida
nashindwa elewa niandikaje ila namuombea mungu amtunze mana atakuja na uzi mwingine muda si mrefu
Chief, Acha kutukana waliokuzaa, Wanawake ni watu wenye jinsia ya kike na shetani ni roho chafu hivyo hawafanani!!Subiri yakukute ndipo utakapojua kama wanawake ni kiboko.
Wanawake ni mashetani
Ni kweli baadhi ya Wanaume hasa hawa wa kisasa wamekua laini na kujiliza hovyo mbele ya wanawake kitu kinachosababisha wao kuwa dhalili mbele ya wanawake. Mwanaume ni msimamo na uhakika wa vitendo!!Tumebaki wanaume wachache Sana wengi wanalia Lia tuu na wanawake
Mwanaume lazima uwe konki.ukisema no iwe no na si vinginevyo
Command zipo tatizo ni hela tu 😂😂😂 bila mipunga command zako zitasikika kwa kisauti cha Moze Iyobo tu!Pia siri ni moja wanawake wanataka mwanaume mwenye Command kidogo sio mwanaume unalambalamba icecream kipumbavu halafu unataka umuongoze mwanamke hakuna anaekubali fuatilia hilo.
Mwanaume uwe comando kidogo, ukisema njoo ni njoo sitaki na usirudie tena uwe unamaanisha kweli hutaki, utaona utakavyoheshimika bila kusahau uwe mtafutaji usikae kizembe
Chief, Siyo kwamba nawachamba bali tunaelimishana na kukumbushana. Lengo la uzi huu ni kuwa, wale ambao hawajui wapate elimu na wenye elimu lakini wanaipuuzia waamke na kukumbuka majukumu na wajibu wao. Nakuomba na wewe ukaribie kisha utie neno tuzidi kuelimika.Ni kweli kaka ila ndio "UTUCHAMBE"???
Ukitaka kumjua mwanamke zijue tabia za Paka, wanawake wote duniani wana tabia kama za Paka, ndio Paka huyu huyu Nyau.
wewe kaa mchunguze Paka utazijua tabia za wanawake.
Command zipo tatizo ni hela tubila mipunga command zako zitasikika kwa kisauti cha Moze Iyobo tu!


Command zipo tatizo ni hela tubila mipunga command zako zitasikika kwa kisauti cha Moze Iyobo tu!
Chief, Acha kutukana waliokuzaa, Wanawake ni watu wenye jinsia ya kike na shetani ni roho chafu hivyo hawafanani!!
HhhhhhhhWEWE UMETUMWA NA MABEBERU KUJA KUVURUGA AMANI YA NCHI WEWE!!!
Hii ni sababu ya uongo kupata kutokea. Sababu ya mwanzo ya hili ni maendelei ya viwanda na wanaharakati wenyewe kupiga kauli mbiu, hili lilianza tangu karne ya 19 au 20.Tabia hii ya baadhi ya Wanaume wapumbavu kutowajibika ipasavyo ndiyo iliyopelekea baadhi ya wanawake kujipa mamlaka na kiburi cha kudai haki sawa na wanaume (kitu ambacho ni upotovu kwa asili),
Chief, Umejibu kana kwamba unanifahamu. Binafsi yalishanikuta, yakinikuta tena ni marudio hivyo nina uzoefu maana naelekea uzeeni sasa, uzi huu nimeuandika kwa faida ya wote ili kuelimishana, kukosoana na kupeana uzoefu pia kuamsha hisia za baadhi yetu (wanaume) waliosahau majukumu yao au wanaoyapuuzia. Nawe pia siyo mbaya kama kuna unalolijua ukaongezea. Karibu!!Subiri yakukute