IKARAHANSI
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 398
- 479
- Thread starter
- #21
Ukitaka kuwaelewa wote hutaweza na utaishia kujichosha. Tafuta mmoja ndio uanze kuelewana nae, mkishindwa kuelewana muache tafuta mwingine. ni na imani ukiwa na akili yenye utulivu utapata tu wa kukuelewa na wewe utamuelewa.hawaeleweki hao viumbe



