Wanaume tuache kujiendekeza

Pia siri ni moja wanawake wanataka mwanaume mwenye Command kidogo sio mwanaume unalambalamba icecream kipumbavu halafu unataka umuongoze mwanamke hakuna anaekubali fuatilia hilo.

Mwanaume uwe comando kidogo, ukisema njoo ni njoo sitaki na usirudie tena uwe unamaanisha kweli hutaki, utaona utakavyoheshimika bila kusahau uwe mtafutaji usikae kizembe
 
Kuna mtu anauliza hapa "Hawa wanawake wanaoongelewa hapa ni tofauti na wale wa makongamano ya ukombozi wa mwanamke na nyumba yakee?"

Comment isindikizwe na nyimbo ya Ghatto-Mamah!.
 
[emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491]
 
Bora umewaeleza ukweli wale Wanaume wanaosemage ukiona unaelekea kumwelewa Mwanamke jua unakaribia kufa, kumbe wao ndio hawaeleweki hawajui kusimama kama Wanaume/viongozi katika familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…