Liwalo na liwe,kila mtu atabeba mzigo wake,kwanini nipate taabu kwa kuogopa ulimwengu utasema nini?Anna nitafute pleeeeasewanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
Sasa dada yangu huko unakotaka kwenda unadhani napo hakuna stress au cheaters?
Je unayajua madhala ya homosexual?, kwa harakaharaka ngoja nikupe side effect ya huko unakotaka kwenda
1.Kutokuwa na hamu ya tendo na mwanaume hata kama utaolewa
2.Kuchelewa au kutokuolewa kabisa na hii inaweza kukupelekea kutopata mtoto kabisa
3.Lifetime stress, sasa hapa ndipo utapata stress za ukweli na uhakika ujue kuna wakati huwa binadamu tuna tamani kuwa na familia especially watoto wa kuzaa, kwa kuwa we muda wako utakuwa umeutumia kwenye u lesbian hutapata watoto ndipo stress za ukweli zinapo kuja. Hakuna raha hapa duniani kama kuitwa baba,mama,mke au mme wangu
Ushauri wangu kwako we ni bora ukaapembeni ya mahusiano kwa sasa mpaka utakapopata aliye tayari to take you home as a wife
Wewe kweli uchizi umeshaupata yaani unataka usagane na mwanamke mwenzako kutatua tatizo la mwanaume wako??
Hovyo kabisa .....nina zako.............
Liwalo na liwe,kila mtu atabeba mzigo wake,kwanini nipate taabu kwa kuogopa ulimwengu utasema nini?Anna nitafute pleeeease
kipi bora ufanye hadharani au kwa kificho kikubwa
tupo....namshangaa mwenzenu kaenda kichwa kichwa kaparamia kambale limemponyoka sasa anaona wanaume wote sumu kumbe tupo watulivu kama sisi mshaurini huo mchezo siyo mzuri atulie ni upepo utapita achague kwa makini sasa baada ya kujeruhiwa. hata sisi tulikutana sana na koroma kabla ya kupata nazi yenyewekhaaaaaaaaaaaa, wanaume mpo????
Tobaaaaaa
pole sana lakini kutoka na mwanamke mwenzio ndio suluhu? je tutajuaje kama wewe si tatizo? tulia utapata atakaye kupenda kweli. sidhani kama hao wanawake wenzio uta zaa nao.wanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
Pepo shindwa kwa jina la Yesuwanaume stress tupu jaman unampenda mtu anakudanganya anakupenda kumbe mko kama 6 hivi mnatumika tu, mwenzenu nimechoka na hiii hali bora kuridhishana sisi kwa sisi kwa mwana dada alietayari ani PM tupeane maraha wenyewe tutapasuka vichwa bure atakae penda lakini sijawalazimisha mie, kwa mdada alietayari ani PM please tutafutane
Huwa haina tabu!
Pepo shindwa kwa jina la Yesu
khaaaaaaaaaaaa, wanaume mpo????
Tobaaaaaa
mkuu usiiache hii nafasi. hii ni sawa na kuokota dodo chini mkorosho. mia
Mie tena.....nishamchek lol
usisahau kunipigia pande. mia