Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

Yupo mdada fulani ambaye alikuwa demu wangu before. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu ilibidi tuachane pale alipopata mwanaume mwingine, lakini tukabaki marafiki na watu wa karibu sana. Huyu mdada amekuwa akinipa stori nyingi sana kuhusu huyu jamaa 'handsome'. Demu anasema ingawa jamaa ni mzuri, ana heshima, ana hela kiasi chake (mdada hasumbuki mambo madogo madogo na ada), na anamridhisha kiasi fulani kitandani, still anamwona kama sio mwanaume aliyekamilika. Kisa ni kwamba huyu jamaa ni mpole sana, kiasi kwa pamoja na kuwa na uwezo mdogo wa kuargue na watu mtaani, lakini pia huyu mdada anamkoromea mara kwa mara.
Mara kadhaa huyu mdada anakuwa amemkosea jamaa (including kumcheat), lakini jamaa akitaka kumaind, mdada anakuja juu jamaa ananywea!!! Huyu mdada anasema hajisikii furaha sana kuwa na mtu kama huyu, kwani anahisi baadae wakioana hatajisikia kuwa na 'mwanaume' ndani!!!
huwa namwuliza kama anataka huyo jamaa yake awe anamchapa vibao, mdada anasema hapana, but anataka awe na uwezo wa kumkoromea, kuwa na msimamo na kumuamrisha, pale wanapotofautiana, au anapotofautiana na watu wengine barabarani, anapenda aone mwanaume wake anaonyesha kaubabe fulani!!!

Wanawake bana... tukiwa wakali shida, tukiwa wapole shida!!!

Ramos acha ubwege yaani unahadithiwa hayo mambo na ex wako unamuintatain wa nini acha mambo ya kulea vigonjwa vidogovidogo maana mwishowe utamrukia tena muanze upya...huyo dada naye ana kiherehere alikuacha wa nini...au ndo yule wa money talks anyway Ramos kama chapa kwako huna anza kuitafuta ukiipata atarudi tuu...akili kichwani/
 
ukisikia paa ujue imemkosa, alie lenga ujue hana shabaa... napita tu wadau! mpe pole jamaa ... but mwanamke huyo hana maana
 
Ramos acha ubwege yaani unahadithiwa hayo mambo na ex wako unamuintatain wa nini acha mambo ya kulea vigonjwa vidogovidogo maana mwishowe utamrukia tena muanze upya...huyo dada naye ana kiherehere alikuacha wa nini...au ndo yule wa money talks anyway Ramos kama chapa kwako huna anza kuitafuta ukiipata atarudi tuu...akili kichwani/

Nilioa ndo maana tukaachana. Bahati mbaya yeye hakuwa wife material, japo ni mzuri sanaa kuliko hata wife...
 
Back
Top Bottom