Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume someni hii stori. Mkijifanya wapole mnadharaulika...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ramos, Sep 7, 2012.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yupo mdada fulani ambaye alikuwa demu wangu before. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu ilibidi tuachane pale alipopata mwanaume mwingine, lakini tukabaki marafiki na watu wa karibu sana. Huyu mdada amekuwa akinipa stori nyingi sana kuhusu huyu jamaa 'handsome'. Demu anasema ingawa jamaa ni mzuri, ana heshima, ana hela kiasi chake (mdada hasumbuki mambo madogo madogo na ada), na anamridhisha kiasi fulani kitandani, still anamwona kama sio mwanaume aliyekamilika. Kisa ni kwamba huyu jamaa ni mpole sana, kiasi kwa pamoja na kuwa na uwezo mdogo wa kuargue na watu mtaani, lakini pia huyu mdada anamkoromea mara kwa mara.
  Mara kadhaa huyu mdada anakuwa amemkosea jamaa (including kumcheat), lakini jamaa akitaka kumaind, mdada anakuja juu jamaa ananywea!!! Huyu mdada anasema hajisikii furaha sana kuwa na mtu kama huyu, kwani anahisi baadae wakioana hatajisikia kuwa na 'mwanaume' ndani!!!
  huwa namwuliza kama anataka huyo jamaa yake awe anamchapa vibao, mdada anasema hapana, but anataka awe na uwezo wa kumkoromea, kuwa na msimamo na kumuamrisha, pale wanapotofautiana, au anapotofautiana na watu wengine barabarani, anapenda aone mwanaume wake anaonyesha kaubabe fulani!!!

  Wanawake bana... tukiwa wakali shida, tukiwa wapole shida!!!
   
 2. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Haha ha a kama unafikiri alikudanganya fikiri tena, wanawake hawana maana kabisa
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Ndo hapo watu wengine huamua kupiga wake/girlfriends zao ili kuonyesha tu kwamba yeye ni mwanamme.

  Not condoning that, lakini wanawake wengine ndo wanapenda hivyo.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sasa huyu dada anafanya makosa ili akoromewe??

  Kweli punda haendi bila fimbo.
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  ulipokuwa naye wewe ulikuwa unamkoromea!
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ni wewe bana acha kusingzia wengne.
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  anakueleza matatizo ya BF wake ili wewe ufanyeje.....au anatafuta namna ya kukurudia
   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Namshauri arejee kwenye uzi wa Babu Dc ili ajue mwanaume wa kiafrika anatakiwa aweje.................Ni ukweli ulio wazi wanawake wengi hawapendi mwanaume mpole sana, wanataka mtu atakaye waonyesha kwamba kuna kiongozi hapa na hakuna upuuzi unaoruhusiwa...........Utashangaa JITU korofi lina ndoa ya zaidi ya miaka 20
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. by default

  by default JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Viumbe waliokuja kwa huruma za wanaume wanatabu sana
   
 10. R

  Ramos JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni vigumu mtu kujijaji. Nilivyokuwa nae sikuwahi kumkoromea kiviile, bali sikuwa kukubali hata anisonye...
   
 11. R

  Ramos JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa namshauri mambo mengi... na katika hili siku zote namshauri asimdharau wala asiwaze kumuacha jamaa, eti kwa sababu ni mpole...
   
 12. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,652
  Trophy Points: 280
  Sheria ya maumbile inafanya kazi!
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  Ramos hongera kwa kuwa mshauri wake.....mnakutanaga wapi kwa kupiana maushauri... kuwa makini usileta hadithi ya mkonowapaka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mwanaume asipokuwa kiume huwa namdharau.....wanawake tunapenda madume wa kiume....
   
 15. L

  LADY JO Member

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanaume ameumbwa kuwa kiongozi
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Girls love bad boys....you didn't know this. Mwanaume mpole ni boring...
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Hapa nangoja jibu kutoka kwa AshaDii aje amwage mauhondo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Ngoja nimwite AshaDii aje kushusha data za unyagoni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. S

  Sumu JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,203
  Trophy Points: 280
  Kumbeeeee!!!! Ndo maana wananing'ang'ania hivi! Nilikuwa sijui!
   
 20. S

  Sumu JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,225
  Likes Received: 3,203
  Trophy Points: 280
  Kama ndo hivyo basi umenipata, labda kama kuna lingine.
   
Loading...