Wanaume single ni wambea sana na wachonganishi

Wanaume single ni wambea sana na wachonganishi

We jamaa niaje...utakujaje na wazo lako umepata ukiwa na njaa zako na stress..alafu unataka liwe applied kwa wote/ sio lazima ku post mazee..unaweza ukawa unasoma threads za watu tu.
 
Hawa wanaofanya hivyo hawako Busy, coz watu Busy hufikiria namna ya kutatua mambo mbalimbali na wakiwa matembezini hutaka kupumzisha, sio nani kafanya nini , na nani, saa ngapi, though sio bachelors tu ,kwa kweli tunao makundi mengi katika jamii zetu zenye tabia hizo.
 
Wewe Mchunguzi huru mwenyewe wewe mmbea, juzi umetuletea habari za Hemedi kushindwa kununua gari.
 
Nimefanya uchunguzi na kubaini kuwa wanaume ambao hawana mademu huwa ni wambea kupita kiasi na wachonganishi.

Wanaume hao, wakiona mwanaume mwenzake kafanya kitu wanaenda kumwambia demu wa jamaa. Kwa mfano, we una kunywa pombe na dem wako hajui basi mwanaume huyo single na ni rafiki yako ataenda kumwambia demu wako... "hivi unajua MCHUNGUZI HURU anakunywa pombe".... "hivi unajua fulani ana dem mwingine yupo Moshi"... nk

Mwanaume single huchukua story zenu mlizokuwa mkipiga kama wanaume na kupeleka kwa demu wako.

Na wakati mwingine huchukua story kwa demu wako na kukuletea wewe. "demu wako jana nimemuona Best Bite na fulani sijui alikuwa anafanya nini".... nk.... yani ilimradi fujo tu.

WANAUME SINGLE ACHENI UMBEA

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

halafu na wewe ni single eeh? nimepata jibu!
 
Ni wa marafiki zako single ndo wako hivyo, si wote. Alafu na wewe mbona unachunguza chunguza watu, vp?
 
Sioni mantiki kati ya umbea na mwanaume kuwa single. Umbea ni tabia haijalishi status ya mtu kimahusiano. Kwanza kuna mwanaume single siku hizi with all this free puntang around. Ungesema non-committed dudes ungeeleweka ingawa bado ungeshindwa kuunganisha umbea na suala la u-single.Kumbuka these days everybody is a player-hater, get used to it kid!
 
Hivi kuwa singo kunahusiana na ushoga eeh? Maana tabia ulizotaja hapa ni za kishoga
 
usinifanye nikatafuta demu fasta... kumbe ndo tunavyoonekana hivi
 
hili sasa ndio tatizo la simple random sampling..
 
Nimefanya uchunguzi na kubaini kuwa wanaume ambao hawana mademu huwa ni wambea kupita kiasi na wachonganishi.

Wanaume hao, wakiona mwanaume mwenzake kafanya kitu wanaenda kumwambia demu wa jamaa. Kwa mfano, we una kunywa pombe na dem wako hajui basi mwanaume huyo single na ni rafiki yako ataenda kumwambia demu wako... "hivi unajua MCHUNGUZI HURU anakunywa pombe".... "hivi unajua fulani ana dem mwingine yupo Moshi"... nk

Mwanaume single huchukua story zenu mlizokuwa mkipiga kama wanaume na kupeleka kwa demu wako.

Na wakati mwingine huchukua story kwa demu wako na kukuletea wewe. "demu wako jana nimemuona Best Bite na fulani sijui alikuwa anafanya nini".... nk.... yani ilimradi fujo tu.

WANAUME SINGLE ACHENI UMBEA

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Hapana ndugu,kwa status yako(PhD holder) na uchambuzi uliotuletea havifanani hata kidogo,
 
Back
Top Bottom