Wanaume, simu zenu zina nini?

Wanaume, simu zenu zina nini?

lady mmarangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
306
Reaction score
166
Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini,

Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa bado!!!mh!!!

Siamini kama ni wote mtakuwa na hiyo tabia, ila nitafsireni mwanaume wa hivi ana maana gani? Mnapanga kufanya kazi fulan mwenzako anaingia ndani unadhani labda kaenda kujisaidia anachelewa unaamua kumfuta una kuta yuko bz na sm bado!!!!! Sim hizi!!
 
1470245290310.jpg
 
Ukiona hivyo jua kuna mwanamke anachati nae, ndiyo maana Dada wa nyumba ya jirani hata akipika nyama huunguza, chakula anachelewa kupika.
Hivi sijui wanawake wana nini kutwa kuchati na wanaume tu, juzi yupo kwenye daladala kapitizwa kituo akiwa anachati. Nikukumbushe Dada ulieweka hii, ukiona mwanamme anachati basi jua pia kuna mwanamke anachati.
 
Sidhani wengine madili nje ya kazi kwahiyo akiwa home ndio muda ya kuyafatilia usipende kuwa negativity utakufa kwa presha wenzio tuendelew kudunda duniani
 
Simu ninunue mimi alafu unipangie jinsi ya kutumia na ungekua unanipa vocha ingekuaje

hivi nyie wanawake mnataka nini haswa maana siwaelewagi?

INGEKUA MIMI NA MBATA(KIPIGO) UNAKULA MPAKA UVIMBIWE
 
Mimi hata wake zangu wanajua,nakuaga jamiiforums,hata sasa
 
Kuna mengi sana ya binafsi ya kufanya zaidi yankumfatilia mtu a nachat na nani.
Mie hesabu zangu ni rahisi tuu, nikiona mtu hanipi muda ninaompa mimi basi simfatilii nampa uhuru wake nami nageuka kufanya yangu mengine. Akija kustuka kuwa sina habari nae kama akinikuta bado available basi bahati yake laah itakuwa imekula kwake mazima.

Kasie.
 
Mnasemeswa hata kujibu mnashindwa kisa bado!!!! Jamni ukitaka udumu kwenye ndoa yako kwa amani na upendo acha ku chart kwenye hii mitandao, mana mnafanya sim kama wake zenu,mkeo yuko kitandani saa tatu we kwenye kochi mpaka saa sita.mh!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom