Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
HAHAHA MAMA CLAREE MBONA UMEJIBU KWA HASIRA SANAMuumizwe tu, mioyo yenu ipondwe pondwe iwe kama nyanya mbovu......
HAHAHA MAMA CLAREE MBONA UMEJIBU KWA HASIRA SANAMuumizwe tu, mioyo yenu ipondwe pondwe iwe kama nyanya mbovu......
Ha ha ha nimevurugwaHAHAHA MAMA CLAREE MBONA UMEJIBU KWA HASIRA SANA
Muumizwe tu, mioyo yenu ipondwe pondwe iwe kama nyanya mbovu......
Siku hizi wanawake wanajiweza kiuchumi........Wasaalam wakuu,
Bila kupoteza maana na wakati ipo hivi, nimefanya kautafiti kangu na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kuwa siku hizi kwenye ulimwengu huu wa mapenzi hususani kwa vijana na mitindo yao kitandani; BRN, kamsutra n.k.
Lakini kwenye kautafiti hako vile vile nimen'gamua kwenye mapenzi hao kuna kuumizwa a.k.a kutendwa au tuseme kupigwa chini tu... Na kautafiti kananiambia watu wanaoongoza kwa kutemwa ni wanaume, yaani midume ya mbegu siku hizi utaikuta inalialia kisa mapenzi. Utasikia nishaurini huyu msichana simuelewi..
Sasa labda niulize kaswali; hivi kwanini siku hizi wanaume ndo wanongoza kuwa heart broken kwenye swala la mapenzi?
Nawasilisha....
Money=Time so............... Love=Time *MoneyLove=money.
No honey no money.
West Afrika Wanawake nao wanakojoa wamesimamaWote wanaokojoa wamesimama
Umr wako na unavyotaka kujua Ni tofaut ngoja balehe ikuishe akil itakukaa sawa,Wasaalam wakuu,
Bila kupoteza maana na wakati ipo hivi, nimefanya kautafiti kangu na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kuwa siku hizi kwenye ulimwengu huu wa mapenzi hususani kwa vijana na mitindo yao kitandani; BRN, kamsutra n.k.
Lakini kwenye kautafiti hako vile vile nimen'gamua kwenye mapenzi hao kuna kuumizwa a.k.a kutendwa au tuseme kupigwa chini tu... Na kautafiti kananiambia watu wanaoongoza kwa kutemwa ni wanaume, yaani midume ya mbegu siku hizi utaikuta inalialia kisa mapenzi. Utasikia nishaurini huyu msichana simuelewi..
Sasa labda niulize kaswali; hivi kwanini siku hizi wanaume ndo wanongoza kuwa heart broken kwenye swala la mapenzi?
Nawasilisha....
teh teh! yan wewe kwa povu ili inaonekana wamekuliza sana...lakin pole kaka ukitoswa unaangalia ustaarabu mwingine tuUmr wako na unavyotaka kujua Ni tofaut ngoja balehe ikuishe akil itakukaa sawa,
Unataka ulie kwa kumparamia house girl, subiri uingie mtaan ukutane na vinavyoshindaniwa Kama huo utumbil ujakutoka!!
Mwanaume anayetoa chozi kwasababu kaachwa na mwanamke basi ujue alikuwa ni mzee wa kitonga mpenda mteremko kila kitu anamtegemea mwanamke.........wew unawasema ma playboi ndo wanafanya maigizo lkn kwenye mahusiano ya ukwl kabisa mwanaume ukipigwa chini utoe mchoz sasa, tafuta mwingine tu
Hii hesabu gani mkuu, ya kubalance... Mbona kama haibalance aisehhh.... Ulikimbia hesabu weweMoney=Time so............... Love=Time *Money
MmhHela kitu gan bhana ..bas kabda wengine tumebalikiwa mvuto wa ajabu....mana mi tangu nianze mpenzi na madem sijawai tongoza dem akanikatalia ....na dem wakwanza kua naye ni alinitongoza na mwingine wa juz juzi tu alinitongoza....na pia sitoi hela hata labda vocha ya jero kwa wiki au mwez au sitoi kabisa paka leo hii Nina miaka 20 ......hela sio kitu mwanaume jiamini .....af uwe na akili sana na uwezo mkubwa wa kumshawishi paka akajiona ndio mmiliki wa ulimwenhgu......thanks God kwa uwezo ulionipa