Wanaume shtukeni jamani, mwanaume halii

Wanaume shtukeni jamani, mwanaume halii

Hela kitu gan bhana ..bas kabda wengine tumebalikiwa mvuto wa ajabu....mana mi tangu nianze mpenzi na madem sijawai tongoza dem akanikatalia ....na dem wakwanza kua naye ni alinitongoza na mwingine wa juz juzi tu alinitongoza....na pia sitoi hela hata labda vocha ya jero kwa wiki au mwez au sitoi kabisa paka leo hii Nina miaka 20 ......hela sio kitu mwanaume jiamini .....af uwe na akili sana na uwezo mkubwa wa kumshawishi paka akajiona ndio mmiliki wa ulimwenhgu......thanks God kwa uwezo ulionipa
kaka umetisha...endelea ivoivo na mvuto wako wa ajabu sana
 
Wasaalam wakuu,

Bila kupoteza maana na wakati ipo hivi, nimefanya kautafiti kangu na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kuwa siku hizi kwenye ulimwengu huu wa mapenzi hususani kwa vijana na mitindo yao kitandani; BRN, kamsutra n.k.

Lakini kwenye kautafiti hako vile vile nimen'gamua kwenye mapenzi hao kuna kuumizwa a.k.a kutendwa au tuseme kupigwa chini tu... Na kautafiti kananiambia watu wanaoongoza kwa kutemwa ni wanaume, yaani midume ya mbegu siku hizi utaikuta inalialia kisa mapenzi. Utasikia nishaurini huyu msichana simuelewi..

Sasa labda niulize kaswali; hivi kwanini siku hizi wanaume ndo wanongoza kuwa heart broken kwenye swala la mapenzi?

Nawasilisha....
TAYARI USHAPEWA KIBUTI NINI?
 
Ndio maana hata sisi wanaume tumekata tamaa, mwanamke ukitusumbua saana na sisi tukikupata tunakutumia sana then tunaku-damp tu, sasa unaanza kupost na kuweka status za kijinga eti real man is ma father
 
Back
Top Bottom