Wanaume shida ni nini?

Hapo kusema uliliwa ndo kosa ulilofanya, kwa nini usiseme ulibeba ndoo ya maji bikra ikatoka.........wanaume ni tofauti na nyie wanawake ndo maana nyie mnaweza kuishi hata kama wake wenza.

Sasa Kama anajua kabisA tayari anakazana nimueleze ilikuwaje nifanyaje
 
Nawashangaa sana sasa kama unajua ni muhimu oa uliemtoa bikira unamuachia nani sasa… kama unajua umemtoa mtoto wa watu bikira na hajaolewa nenda umuoe mbona ni simplee
Hili ndo kosa kubwa mnalolifanya la kujilinganisha na wanaume, eti oa uliomtoa Bikra!

Ni hivi, katika kutoana bikra kabla ya ndoa ni kwamba wote mmefanya ujinga lakini anayebakia na kielelezo cha ujinga huo ni wewe mwanamke! Sasa endelea kuwadanganya wadogo zako wapanue tu na wao!
 
Sasa kwanini unatujumuisha wanaume eti? Sio wanaume wote wapo Kama Huyo wako, huyo wako inaonekana bado hajakomaa kiakili maana wanaume tunaojielewa hatunaga huo muda mchafu wa kuanza kusimulia story za ma- ex wetu.We Don't have time for that fucking nonsense.

Mwanaume wako akili zake bado hazijajikusanya vizuri.
 
Mimi huwa nina tabia katika mastory lazima niwaongelee maex's,kumbe hii ikawa inamuumiza sana mke wangu

Baadae nae akaanza kuwa ananipa mastory yake mengi mengi ya kuhusu kuliwa na mpaka alivyotolewa bikra na jamaa mkubwa tu alikuwa daktar yeye wakati huo akiwa form 2,pia akawa ananihadithia jinsi alivyokuwa analiwa na wababa wazima wenye familia zao tena yeye akiwa kidogo kident,nikawa naumia kiaina ila napotezea

Ila kuna siku alinipa story ambayo niliumia sana mpaka leo,aliniambia aliwah kuwa na mahusiano na dogo aliekuwa form 2 na wakat huo mke wangu alikuwa ameshakuwa mkubwa tu yupo mtaani,na aliliwa na huyo dogo kimasihara na baadae ikatokea akampenda kiukwel kwel huyo dogo,hii story ilinipiga ganzi
 
We huna mke hapo, una mlezi mwenza!

Saikolojia ya mwanadamu ni kwamba kosa huwa na uzito wa kosa kabla ya kulitenda, uzito wake hupungua every other next time you do it! Hii ina maanisha ni rahisi zaidi kulirudia kosa baada ya kulifanya kuliko kulifanya kwa mara ya kwanza, na kadri unavyorudia ndo wepesi huongezeka zaidi na zaidi. Sasa we ukijikuta unazini jioni wakati mpaka mchana hukuwa na mawazo hayo jua mzee baba wewe tayari ni malaya!
Pia kosa linapokuwa kosa huwa linaleta hisia za kujihisi guilty na ulichofanya, so mwenye kuhisi hivo huwa anaficha makosa yake. Ila ukiona umefikia kiwango makosa yako unayaongelea bila wasiwasi basi ujijue kuwa ile guilty consciousness imepotea, hii inamaanisha nafsi yako haitambui tena kuwa hili jambo ni kosa bali hali tu ya kawaida!

Hapo sasa ndo gari linakuwa limewaka kisawasawa! ni kama bomu la dakika tu, anytime ni kapoom kaboom!
 

Mkomee nyiee kuongelea ex ex kila siku inakeraa
 
Tuelezee hapa ulivyo tolewa bikra .....tuanzie hapo kwanza ndipo tutajua tatizo lipo kwako au kwake
 
Mama Mzungu naomba tuwasiliane kama hutojali!!
 
Achana na vijana wa ovyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…