Wanaume shida ni nini?

Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii

Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Si umemueleza jamaa alivyokubandua kihisia na ukabanduka kweli, niliemtoa bikra sasa hivi sijui alipo
 
nikimwambia mengine
Ulimwambia jinsi ulivyoliwa kisamvu? Afu bikra ipi unayoizungumzia? Hayo mengine ukimwambia jinsi ulivyoliwa unamanuliwa chooni n bafuni unapigwa mashine hadi miguu inakosa ushirikiano unashindwa kutembea hatokua na hamu na wewe
 
Wala sijataja jina na wala ex wangu hajui majina yao

Nilimpa maelekezo tu kwamba nilienda nikaliwa basi
Hapo kusema uliliwa ndo kosa ulilofanya, kwa nini usiseme ulibeba ndoo ya maji bikra ikatoka.........wanaume ni tofauti na nyie wanawake ndo maana nyie mnaweza kuishi hata kama wake wenza.
 
Ulikosea, ulitakiwa umuweke bize kwenye kujadili mambo ya msingi kama uwekezaji n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…