Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Naongea niliyoyaona Mimi..
Yaani unakuta unajichanganya kumuonyesha mtu unampenda Sana...akijua tu basi atakunyanyasa anavyotaka maana anadhani huwezi kuondoka,aisee aliyevumilia mateso Hadi mwisho Ni Yesu tu.
Wanaume huwa hamjui mnachokitaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wanaume wahuni wasiojua thamani ya mtu anayejitolea kuwathamini... ukimthamini sana anajiona kakushika anaota mapembe, lakini ukimpata ukimpa Prince charming wa kweli wala huwezi kukutana na hayo maswahibu.

Pendekezo: achanani na wanaume wahuni ni bahati mbaya sana eti hao wanaume mabandidu ndio huwa mnatokea kuwaelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whozhaaaaaaaa
Mambo hayo jamani
Shoga usinisahau weekend
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama la mama karma
mambo yamenogaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
usijali shogaangu mi na weye tena

Sent using Jamii Forums mobile app
acha kunionea wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi....
Waifu material wewe

Hahahahaah twenti twenti

Sent using Jamii Forums mobile app
mmhh hizi sifa mbona sijawahi kupewa tangu tufahamiane dada kwema

Sent using Jamii Forums mobile app

Twenti twenti hii dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naiona strong sisterhood kwenye neema mnaitana tu, akiitwa mmoja wote mmo.

Mmenikumbushaa nyakati fulani hivi wakati nimejiweka kwa denti mmoja muharamia alivyonikosa kosa kuninyonya damu yeye na kampani lake. Alooo nilitoka nduki hadi leo sijawahi kuingia tena kwenye mtego kama ulee.

Msiogope lakini, mpango wangu weekend hii uko pale pale. Acha tuifanye January ifanane kidogo na December!!

Cheeers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimecheka wallahi,, cheers kaka..
Naiona strong sisterhood kwenye neema mnaitana tu, akiitwa mmoja wote mmo.

Mmenikumbushaa nyakati fulani hivi wakati nimejiweka kwa denti mmoja muharamia alivyonikosa kosa kuninyonya damu yeye na kampani lake. Alooo nilitoka nduki hadi leo sijawahi kuingia tena kwenye mtego kama ulee.

Msiogope lakini, mpango wangu weekend hii uko pale pale. Acha tuifanye January ifanane kidogo na December!!

Cheeers

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wanaume wahuni wasiojua thamani ya mtu anayejitolea kuwathamini... ukimthamini sana anajiona kakushika anaota mapembe, lakini ukimpata ukimpa Prince charming wa kweli wala huwezi kukutana na hayo maswahibu.

Pendekezo: achanani na wanaume wahuni ni bahati mbaya sana eti hao wanaume mabandidu ndio huwa mnatokea kuwaelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Ni wote tu tukiwapenda Sana mnaota mapembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiona strong sisterhood kwenye neema mnaitana tu, akiitwa mmoja wote mmo.

Mmenikumbushaa nyakati fulani hivi wakati nimejiweka kwa denti mmoja muharamia alivyonikosa kosa kuninyonya damu yeye na kampani lake. Alooo nilitoka nduki hadi leo sijawahi kuingia tena kwenye mtego kama ulee.

Msiogope lakini, mpango wangu weekend hii uko pale pale. Acha tuifanye January ifanane kidogo na December!!

Cheeers

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatutakunyonya damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom