Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Were those demeaning words uttered by any of our idem gender toward the opposite one, the rage would be out of this world by now. As you say if we were pious maybe we would be free from this self-inflicted infallibilism tendency.

Sent using Jamii Forums mobile app
one could perhaps argue that this partial attitude towards men is justified on the grounds that we are minorities as we are overwhelmingly outnumbered by women, that women somehow deserve the luxury of treating us that way on the basis of their numerical advantage. What would you say to such a person?
 
Ni kweli ila inabidi utafute hela... Ukipata na wewe tafuta mwanamke mwenye hela Oa... Huyo ataweza kusimamia mali zako hata ukitoweka Duniani....

Inauma kuona unapendwa sababu ya pesa.. Unahisi kama vile that Love is not real

Ndo maana hata Mungu mpaka akubariki inabidi ujishushe sana.. Yani kwa kifupi hata Mungu hapendi ya kuwa taken for Granted.. Sasa ije kuwa wanaume kweli?

Ndo maana swala la haki sawa kwa wote halitokaa litokee.. Mnao jiwekea ukuta ni nyie wenyewe unajua mwanaume akikuoenda yani kukupa hela inatokea automatically.... Na huwa kwetu inakuwa kama pleasure

Ilala sasa hawa Dada zetu umemtongoza au mmezoeana kidogo tu washaanza kupiga vibomu.. Mtu unaweza kuwa na hela usitoe maana inakuwa ni kama anakuona lofa flani hivi...

Na bado unakuta MTU uwezo wake wa kumjali mwanaume upo low nabado hata chura hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa inapendeza pesa ikaoe pesa panapowezekana, lakini si mbaya pia pia kwa mwenye maamuzi yaliyo kinyume na hapa.

Sote tunapenda sana wenzi wetu watupende sisi kama tulivyo na sio kwa vile tulivyonavyo, lakini sasa hilo linawezekana kweli? Very few people have met such fortune, i sometimes think love is overrated nonexisting entity.

No one likes to be taken for granted but there are some situations that you can't control normally.

Haki sawa,gender balance,gender equality or whatever the hell somebody can call it, it will never be achieved ideally unless one gender is wiped off the earth surface.

Kuomba omba hela ndivyo walivyo na ukizubaa utakuwa wa kuhonga halafu hata busu tu hupati, so just play your game smartly.

Duuh... chura tena? Wewe ni pacha wake na Behaviourist nini?
 
one could perhaps argue that this partial attitude towards men is justified on the grounds that we are minorities as we are overwhelmingly outnumbered by women, that women somehow deserve the luxury of treating us that way on the basis of their numerical advantage. What would you say to such a person?
Such person is discourteous clown, presently women outnumber us by three to two, but i'm incredulously putting that numerical difference as justification for their injustice against men when it comes to societal wrongdoings equally done by both gender. Personally i think this biased judgment boils down to our current societal system that has been incepted with gynocentrism recently. Men deserve all the poos women throw at them.
 
Kweli kabisa inapendeza pesa ikaoe pesa panapowezekana, lakini si mbaya pia pia kwa mwenye maamuzi yaliyo kinyume na hapa.

Sote tunapenda sana wenzi wetu watupende sisi kama tulivyo na sio kwa vile tulivyonavyo, lakini sasa hilo linawezekana kweli? Very few people have met such fortune, i sometimes think love is overrated nonexisting entity.

No one likes to be taken for granted but there are some situations that you can't control normally.

Haki sawa,gender balance,gender equality or whatever the hell somebody can call it, it will never be achieved ideally unless one gender is wiped off the earth surface.

Kuomba omba hela ndivyo walivyo na ukizubaa utakuwa wa kuhonga halafu hata busu tu hupati, so just play your game smartly.

Duuh... chura tena? Wewe ni pacha wake na Behaviourist nini?
Tutafute hela asee.. Watoto wazuri wanazidi kuzaliwa
IMG_20200111_051128_859.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom