Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,639
Msichana akitaka NGUO mpya wala
hahangaiki sana... Anaingia tu kwenye PHONEBOOK yake..
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...
Anatype Meseji tamuuu ambayo kila Danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake...
UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 20,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu..
Please maana kutoka mpaka ATM
saa
hizi usiku na haka kamvua yaani naogopa kutoka.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo mwaaaa
"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anayaweka yale Madanga yake humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,
Anaifowadi ile meseji TWAAAAP!!
Anauchuna kama dakika 5 hivi,kusubiria Madanga yake yajibu..
Mara meseji za Miamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga,Tabata,Mbezi,Kimara,Bugurun mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu..
"Imethibitishwa umepokea 20,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 22,000 kutoka kwa Justine Kipipa"
Nusu saa tu kashakusanya LAKI 4 kesho yake
anaamka anaenda dukani anafanya shoping.
Siku ukibahatika kufika Geto kwake utajikuta wee Danga uloajiriwa humfikii. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 7 plus
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM??
Kumbe mwenzio BOOM LAKE BINAFSI ni wewe kenge na wajinga wanzio
..
Mki CLICKIWA tu mnatuma hela kibwena

wakati Wazazi au Ndugu zenu Kijijini wanashindia Mlo Mmoja.
Wazazi
Nyumba zao zavuja kipindi hiki cha Mvua wewe walea michepuko mjini.
Nyumba ya Wazazi wako toka umezaliwa ukalelewa mpaka umebahatika Kazi badala yakuwajengea hata iwe na Umeme wa REA elfu 27 tu umeshindwa.
Sasa ishi ukijua hilo kuwa unatumika kwa matumizi mabaya..
Tusiendekeze sana,unapoombwa na Mchepuko hela kwanza fikiria Wazazi wako Nyumbani maisha yao hawajakuomba hela hata wabadili Mboga?
Halafu fikiria Familia yako(Mke
na Wanao
) hawatamani leo kubadili chakula? Au mkeo hajakuomba kitu umnunulie? Au hata mwanao? Kuwatoa out leo jumapili ukaja nao hapa mnadani Kibamba chama mkala nyama choma na vinywaji hujisikii, yaani umekua bonge la poyoyo
Kama utakuta kote huko umetimiza mahitaji yao basi mtumie huyo Mchepuko wako roho ikiwa kwatuu.
Lakini kama hao nlowataja hapo wapo kwenye Dhiki.. ndugu yangu upotezee huo mchepuko ombi lake wazia Wazazi au familia yako.
Kaa ukijua nlokutajia hapo ni machache tu kwa Mchepuko ila Baya zaidi mchepuko haunaga fadhila.
Inauma ila tuvumiliane.... dawa ikuingue
Acha huo ujinga pimbi wewe!!!
Niongeze sauti au nimesikika
hahangaiki sana... Anaingia tu kwenye PHONEBOOK yake..
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...
Anatype Meseji tamuuu ambayo kila Danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake...
UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 20,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu..
Please maana kutoka mpaka ATM
saa hizi usiku na haka kamvua yaani naogopa kutoka.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo mwaaaa

" Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anayaweka yale Madanga yake humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,
Anaifowadi ile meseji TWAAAAP!!
Anauchuna kama dakika 5 hivi,kusubiria Madanga yake yajibu..
Mara meseji za Miamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga,Tabata,Mbezi,Kimara,Bugurun mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu..
"Imethibitishwa umepokea 20,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 22,000 kutoka kwa Justine Kipipa"
Nusu saa tu kashakusanya LAKI 4 kesho yake
anaamka anaenda dukani anafanya shoping.
Siku ukibahatika kufika Geto kwake utajikuta wee Danga uloajiriwa humfikii. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 7 plus
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM??Kumbe mwenzio BOOM LAKE BINAFSI ni wewe kenge na wajinga wanzio

.. Mki CLICKIWA tu mnatuma hela kibwena

wakati Wazazi au Ndugu zenu Kijijini wanashindia Mlo Mmoja.Wazazi

Nyumba zao zavuja kipindi hiki cha Mvua wewe walea michepuko mjini.Nyumba ya Wazazi wako toka umezaliwa ukalelewa mpaka umebahatika Kazi badala yakuwajengea hata iwe na Umeme wa REA elfu 27 tu umeshindwa.
Sasa ishi ukijua hilo kuwa unatumika kwa matumizi mabaya..
Tusiendekeze sana,unapoombwa na Mchepuko hela kwanza fikiria Wazazi wako Nyumbani maisha yao hawajakuomba hela hata wabadili Mboga?
Halafu fikiria Familia yako(Mke
na Wanao
) hawatamani leo kubadili chakula? Au mkeo hajakuomba kitu umnunulie? Au hata mwanao? Kuwatoa out leo jumapili ukaja nao hapa mnadani Kibamba chama mkala nyama choma na vinywaji hujisikii, yaani umekua bonge la poyoyoKama utakuta kote huko umetimiza mahitaji yao basi mtumie huyo Mchepuko wako roho ikiwa kwatuu.