Wanaume povu ruksa

Wanaume povu ruksa

Inasikitisha sana...

Tatizo bindamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Kingine kwa juhudi za serikali ya awamu hii, hayo mambo hayopo tena...

Cc: mahondaw
 
Michepuko wa kukuomba 20,000?? Kidogo sana hiyo, hao ndio wazuri, yaani unawezakuwa nao kama watano hivi hiyo laki moja, siku ya kulipa fadhila unawapitia tu freshi.
Sio mwengine anataka umlipie kodi ya nyumba milioni, hao wa 20,000 sioni tabu hapo, weka bajeti kama laki tano za kucheza cheza na michepuko wako.
msalimie Kiduku Lilo
 
UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 20,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu..
Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku na haka kamvua yaani naogopa kutoka.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo mwaaaa"

Hata siwezi kupingana na huu ukweli wako mkuu
Yashakukuta eeeh
 
Kila mtu apambane na hali yake.

Kama danga anaona kuhonga mwanamke kunampa amani afanye tu ivyo.

Kama mwanamke anaona kutumika na wanaume wengi Kuna mpa amani na adange tu .

Ila kila kitu kina mwisho wake .
Dangeni tu, ila mtavuna mnachopanda
 
Sielewi mimi nafeli wapi. Kumbe maisha ni marahisi hivi. Ahsante mtoa mada kwa kunipa ka idea amazing.
 
Wengine wanatudai sana Nillimuingizia muamala wa airtel akiwa amegoma kutoa pichu mpaka apate.nikaingiza na kuurudisha dk 30 baadae nikiwa nimepiga show.
Acha tu wajilipe
 
Wengine wanatudai sana Nillimuingizia muamala wa airtel akiwa amegoma kutoa pichu mpaka apate.nikaingiza na kuurudisha dk 30 baadae nikiwa nimepiga show.
Acha tu wajilipe
Mungu anakuona ujue
 
Malimbukeni wa Mapenzi ndo huwa wanapelekwa vibaya sana.....kwani kukaa bila Kujibu text unapungukiwa nini hahahahaha...... Hizo text sijibugi kabisa Jana yenyewe kuna girl wang ambae ni main mwenyewe ameniomba 28000 ya kimonah sijui na skin yake nikamjibu sawa ila sitarajii kumpa hiyo 28 siwezi toa bora uhusiano uvunjike
 
Tatizo ni umasiki tu.
 
Back
Top Bottom