Wanaume povu ruksa

Wanaume povu ruksa

Msichana akitaka NGUO mpya wala
hahangaiki sana... Anaingia tu kwenye PHONEBOOK yake..
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha...
Anatype Meseji tamuuu ambayo kila Danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake...
UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 20,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu..
Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku na haka kamvua yaani naogopa kutoka.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo mwaaaa"

Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anayaweka yale Madanga yake humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,
Anaifowadi ile meseji TWAAAAP!!

Anauchuna kama dakika 5 hivi,kusubiria Madanga yake yajibu..
Mara meseji za Miamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga,Tabata,Mbezi,Kimara,Bugurun mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu..

"Imethibitishwa umepokea 20,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli"

"Imethibitishwa umepokea 22,000 kutoka kwa Justine Kipipa"

Nusu saa tu kashakusanya LAKI 4 kesho yake
anaamka anaenda dukani anafanya shoping.
Siku ukibahatika kufika Geto kwake utajikuta wee Danga uloajiriwa humfikii. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 7 plus kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM??

Kumbe mwenzio BOOM LAKE BINAFSI ni wewe kenge na wajinga wanzio ..
Mki CLICKIWA tu mnatuma hela kibwena wakati Wazazi au Ndugu zenu Kijijini wanashindia Mlo Mmoja.

Wazazi Nyumba zao zavuja kipindi hiki cha Mvua wewe walea michepuko mjini.
Nyumba ya Wazazi wako toka umezaliwa ukalelewa mpaka umebahatika Kazi badala yakuwajengea hata iwe na Umeme wa REA elfu 27 tu umeshindwa.

Sasa ishi ukijua hilo kuwa unatumika kwa matumizi mabaya..

Tusiendekeze sana,unapoombwa na Mchepuko hela kwanza fikiria Wazazi wako Nyumbani maisha yao hawajakuomba hela hata wabadili Mboga?

Halafu fikiria Familia yako(Mke na Wanao) hawatamani leo kubadili chakula? Au mkeo hajakuomba kitu umnunulie? Au hata mwanao? Kuwatoa out leo jumapili ukaja nao hapa mnadani Kibamba chama mkala nyama choma na vinywaji hujisikii, yaani umekua bonge la poyoyo
Kama utakuta kote huko umetimiza mahitaji yao basi mtumie huyo Mchepuko wako roho ikiwa kwatuu.
Lakini kama hao nlowataja hapo wapo kwenye Dhiki.. ndugu yangu upotezee huo mchepuko ombi lake wazia Wazazi au familia yako.

Kaa ukijua nlokutajia hapo ni machache tu kwa Mchepuko ila Baya zaidi mchepuko haunaga fadhila.
Inauma ila tuvumiliane.... dawa ikuingue
Acha huo ujinga pimbi wewe!!!

Niongeze sauti au nimesikikaView attachment 1238881
Ongeza volume hatujaskia,mambo ya sijui ndugu mara wazazi na blaa blaa kibao ndo watanipa papuchi?
By the mimi mimi sijawahi kuwa driven na hizo hadithi so ukianza kwa hivyo vibwagizo ndo utegemee vitanishawishi nitoe pesa unakuwa umefeli nasoma bila kujibu siku ukiniuliza nasema sikuiona
Mwisho hiyo k si itakuwa sinia yaani madanga yote hayo?
 
Umbea mtupu
 
Kwamba wanaume hawatoi mkuu?
Wanatoa, lakini si rahisi kukusanya pesa yote kwa madanga 20 kwa wepesi kiasi hicho, unaweza ukapata madanga watano wakakutumia bila tatizo ila hao wengine watakwambia kwenye simu sina ataleta sababu mbali mbali nia yake uje uchukue, haya
wengine watakwambia subiri ntakutumia.
Sio ulale tu hapo kitandani usambaze huo ujumbe wako ukazani wanaume wote mandezi watatuma tu.
Asiyefanya kazi na asile
 
Duuh... hii experiensi yako inabagua wanaume wa kuifanyia?
 
Mimi naamini hakuna pesa ya rahisi kama mwenye uzi anavyofikiri eti ukae hapo miguu juu usambaze ujumbe wako pesa zimiminike! Lazima ukaisumbukie.
Angalizo: mimi si mdangaji
 
Vile washkaj wana umoja siku wakikustukia mmoja ana omba papuch then wana wanakuja kupiga mtungo mbona utashaa...
 
message sent
 
Malimbukeni wa Mapenzi ndo huwa wanapelekwa vibaya sana.....kwani kukaa bila Kujibu text unapungukiwa nini hahahahaha...... Hizo text sijibugi kabisa Jana yenyewe kuna girl wang ambae ni main mwenyewe ameniomba 28000 ya kimonah sijui na skin yake nikamjibu sawa ila sitarajii kumpa hiyo 28 siwezi toa bora uhusiano uvunjike
Anataka kimono. .ili wahuni waone ka shape kake bila Shaka demu wako n modo
 
Vp Yule mganga aliyeingiza kichwa tuu ili dawa iingie
Mimi naamini hakuna pesa ya rahisi kama mwenye uzi anavyofikiri eti ukae hapo miguu juu usambaze ujumbe wako pesa zimiminike! Lazima ukaisumbukie.
Angalizo: mimi si mdangaji
 
Hiyo ya wazazi hiyo kwakweli umeisemea vizuri iangaliwe upya. Kuna hadi wake wa ndoa kabisa wanabana sana waume zao wasiwaendeleze wazazi wao ila wao kwao wanapeleka msaada kwa wingi sana. Utasikia wewe baba flani ni kweli siyo vibaya kuwasaidia wazazi wetu lakini angalia familia yako kwanza.

Hapo naye mke anafanya kazi tena mshahara mnalingana, mfano wote walimu au pengine anakuzidi lakini hela yake wala anatumia atakavyo ikiwemo kuwasaidia wazazi wake.

Hadi msemo umezuka eti watoto wa kike kwa sasa ndiyo wa kuzaa kwani wanajali sana wazazi wao kuliko wa kiume. Eti watoto wa kiume walikuwa na msaada zamani siyo siku hizi.

Wanaume tujiulize jamani tumekwama wapi mpaka hawa wanawake wameweza kutusahaulisha tulikotoka na kutufanya kuacha kabisa au kupunguza msaada kwa wazazi/walezi wetu?
 
Basi malaya wote wanaojiuza wasingejipanga barabarani uchi. Wangetuma tu sms hela zinamwagika.

Halafu wanawake wote wangekuwa matajiri. Tusingewasikia wakilia kwenye redio kuomba msaada.
 
Malimbukeni wa Mapenzi ndo huwa wanapelekwa vibaya sana.....kwani kukaa bila Kujibu text unapungukiwa nini hahahahaha...... Hizo text sijibugi kabisa Jana yenyewe kuna girl wang ambae ni main mwenyewe ameniomba 28000 ya kimonah sijui na skin yake nikamjibu sawa ila sitarajii kumpa hiyo 28 siwezi toa bora uhusiano uvunjike
 
Ongeza volume hatujaskia,mambo ya sijui ndugu mara wazazi na blaa blaa kibao ndo watanipa papuchi?
By the mimi mimi sijawahi kuwa driven na hizo hadithi so ukianza kwa hivyo vibwagizo ndo utegemee vitanishawishi nitoe pesa unakuwa umefeli nasoma bila kujibu siku ukiniuliza nasema sikuiona
Mwisho hiyo k si itakuwa sinia yaani madanga yote hayo?
achaga ubahili
 
Back
Top Bottom