Wanaume, please, please msije mkafanya kosa hili

Dah...pole sana bro...kwani ulilewa? 🀣 🀣🀭
 
Mzee wako alikuwa anakunya vichakani huko utamwonaje, acha kumwona.... siku hizi choo kipo sebleni hivyo utaona anavyoingia na kutoka.

Yes! Hoja yako ya mipaka ina mashiko, ila mfano wako ni mgumu sana.
 
Si dhani kama, kusudu la Mungu kwa mtu mume ni kuangaika maisha yake yote kwaajili ya kulinda,kumlinda mwanamke awe vile anavyotaka yeye.
Bali kama mwanaume, unatakiwa kuomba Mungu akupe Mtu sahihi kwako. Na akuongoze kutembea katika njia zake na kuyafanya mapenzi yake yalio ndani yako. Hapo ndipo furaha ya kweli ilipo kwa kila mwana wa Adam.. Usisahau kaka. vitabu vinatuhasa kuishi nao kwa Akili na wala si kwa Mapenzi
 
Dah...pole sana bro...kwani ulilewa? 🀣 🀣🀭
Dogo analia, anasimulia eti baba yake alikuwa analelewa na mama yake, akamwambia demu wake, demu kasambaza umbea mtaani watu wote wanajua na maneno yamewafikia wazazi wake
 
Mzee wako alikuwa anakunya vichakani huko utamwonaje, acha kumwona.... siku hizi choo kipo sebleni hivyo utaona anavyoingia na kutoka.

Yes! Hoja yako ya mipaka ina mashiko, ila mfano wako ni mgumu sana.
umejiropokea tu-unafikiri wazazi wako walivyokuwa na maisha ya hovyo basi kila mtu wazazi wake ni kapuku kama wako,

stupid you!
 
Labda wazazi wawe wahalifu, vinginevyo sioni shida.
 
Vipi kwa sisi ambao tayari tushatoa siri zote??
 
umejiropokea tu-unafikiri wazazi wako walivyokuwa na maisha ya hovyo basi kila mtu wazazi wake ni kapuku kama wako,

stupid you!

Sasa we ulitaka umuone mzee wako akikata gogo ili iweje, toto pumbavu hovyo kabisa hili... mzee choo hana anajisaidia machakani utamwona vipi!

Ficha ujinga wako, unamdhalilisha mzazi wako bwege wewe.
 
Miss Natafuta usinipande kichwani
 
Exactly exactly exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…