Wanaume, please, please msije mkafanya kosa hili

Wanaume, please, please msije mkafanya kosa hili

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Enyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa zikiwa mbaya, yaani mapungufu.

Kuna siku moja atakuja kukusema vibaya wewe, ama kwa marafiki zake, au kwa nduguze, au mtandaoni kuhusu madhaifu ya wazazi wako. Wanawake kwao wanachukulia Siri hasi, Kama silaha ya maangamizi kukuumiza wewe mkiwa na migogoro.

Usiamini kwamba unapendwa, angalia pia na pochi lako, ukiona pochi lako linaanza kupungua, ongeza upendo kwa mkeo, mpakie na vumbi la Congo kumdatisha, tumia akili ya ziada, lakini kamwe usimpe nafasi ya kuwajua kwa undani wazazi wako
 
Mengine hayatoki kwa muhusika huletwa na wengine, pia mengine hayafichiki kabisa yanakuja direct, kuna vitu unaweza ambiwa na ndugu wwkaribu ambayo hata mwenye wazazi hayajui
 
Back
Top Bottom