mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,131
- 58,861
Lazma wawe wasafi. Muda wote wapo ndani. Hata kupika wengine hawawezi.Waarab daahhh wasafi sana..i will never forget such kind of love..it was amaizing..ulinifanya nikajua thamani ya upendo kweli ulinipenda kwa dhat nami nilikutendea haki..wasalimie oman malikia wangu
Ni moyo ndio lakini ndio ukaburu wenyewe.Naamini hata wale wazungu na wahindi wabaguzi wana roho kama yako tuHapana mkuu sio ubaguzi ni moyo tu nisamehe kwakweli kama we ni mweupe
Mi mweusi ngoja nije pmHapana mkuu sio ubaguzi ni moyo tu nisamehe kwakweli kama we ni mweupe
Aiseee kati ya watu wanaojua kupika mkuu waarab wanaongoza,wanapenda kutumia spice sana kama iliki,mdarasin,karafuu,binzari,we acha mkuu hao watu ni next levelLazma wawe wasafi. Muda wote wapo ndani. Hata kupika wengine hawawezi.
Kumuweka ndani huyo uwe na hela. Usifikiri atakaanga maandazi aweke nje auze.Aiseee kati ya watu wanaojua kupika mkuu waarab wanaongoza,wanapenda kutumia spice sana kama iliki,mdarasin,karafuu,binzari,we acha mkuu hao watu ni next level
Ata yeye hawez kumkubali mtu asiye jituma kutafuta pesa..wanapenda maish mazur off courseKumuweka ndani huyo uwe na hela. Usifikiri atakaanga maandazi aweke nje auze.
Wewe lete apike.
Ni kweli. Nina dogo mmoja wa kiarabu. Kiukweli ananipa morali ya kutafuta.Ata yeye hawez kumkubali mtu asiye jituma kutafuta pesa..wanapenda maish mazur off course
Aisee tupo tofauti mkuu me napenda mwanaume mweusi hata mwenye weupe kidogo simpendi na wala sijawahi kumtamani
Pambana mkuu dem wa hivyo ndio mzur anafanya uwe na mipango endelevu..sio unakua na dem wa kizaram ata mkila dagaa mwezi mzima hakuulizi mwenzangu vip!yeye anawaza madela tu, hapo kuwa na maisha mazur ni ngumu sanaNi kweli. Nina dogo mmoja wa kiarabu. Kiukweli ananipa morali ya kutafuta.
Kweli mzeePambana mkuu dem wa hivyo ndio mzur anafanya uwe na mipango endelevu..sio unakua na dem wa kizaram ata mkila dagaa mwezi mzima hakuulizi mwenzangu vip!yeye anawaza madela tu, hapo kuwa na maisha mazur ni ngumu sana
Mbwa wakali usipite tena utang'atwa [emoji23] [emoji23]Nakatiza tuu huku mie
Gavamenti inatuchanganya sana aiseeeee..... Jana niliona kanusho toka BoTHiko hivi one $ ni sawa na 2200/= tshs.
Kumbe huwa zina chumvi....[emoji45] [emoji45]Mimi sijawahi onja izo ngozi