Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Umeolewa na wanaume wangapi mama?Jamani hebu wanaume mkubali kurekebishwa na kukubali mnachoshauriwa, mwanume wengi hasa walioko kwenye ndoa wamefuga vitambi, kwakweli hili mimi linanikera sana hakuna nguo anayompendeza tumbo kule, ondoeni vitambi muwe na mwonekano mzuri na shoo mzimudu. Badilikieni bwana.
Na nikukumbushe kuwa, huo mtumbo alionao mumeo hautatuliwi mtandaoni, bali jikoni na kitandani kwako. Pambana na hali yako mama.