Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Ni wanaume wa Dar tena!!
Bastola tena.., ngoja nikae mbali damu zisinirukiekhanga ya nini, ni fimbo tu au bastola
Ningeporomosha tusi mana naona kila mtu anakashf kivyake ila bahati mbaya picha haijafunguka nikawaona hao wanaume pichani kuwa wamefanyaje..View attachment 618553 mna nini lakin nyie viumbe mnaojiita vichwa na hawa wanaitwaje sasa,,
hahahahBastola tena.., ngoja nikae mbali damu zisinirukie

usiogope mwaya!wanatia kichefu chefu sana,Umeongea kwa kumaanisha saaana![]()
![]()
![]()
![]()
Saaanawanatia kichefu chefu sana,
kwa hili nafkiri ata MUNGU ataelewaa,Saaana
Ila ni kuvumilia, ukiua hiyo damu yake itakuwa juu yako...
Njoo pale kwa juzikwa hili nafkiri ata MUNGU ataelewaa,
uko wapi ss hiv Sakayo?!
Umeona wana matiti,,mbona sie wanawake mnatutupiaga lawamaHawa si wanaume. Mwanaume anayejitambua KAMWE hawezi kufanya upuuzi kama huu.
Sabrina hana umbile la kiume ,,unapenda kumtaja eeHao sio wanaume maana hawana tofaut na sabrina
Nampenda sana uyo mtotoSabrina hana umbile la kiume ,,unapenda kumtaja ee
Ndip kwanzaa ananyonya hapaNampenda sana uyo mtoto
Akikua sana tu sio?Ndip kwanzaa ananyonya hapa
Umeona wana matiti,,mbona sie wanawake mnatutupiaga lawama
hivi wengine mishipa ya aibu wanakuwa hawana kabisa au ni vipi...!?
mtu wa hivyo nikimjua sitaki hata aniguse aisee anaweza chezea ngumi za haraka haraka....wapuuzi sana,