ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,655
Juzi wakati niko sehemu na washikaji tunapiga stori za maisha na bongo yetu iliyolaaniwa kwa ufisadi. Ghafla akapita dada ambaye amebarikiwa 'usafiri'. Macho ya Watu wote tulokuwa pale yakaelekezwa mdada. Na yeye kwa visa akaongeza jitihada ya kuyatingisha, huwezi amini ukimya ulitawala kwa karibu dk 2. Mdada alipotokomea aendako, jamaa mmoja akadai kwamba yeye mkewe hana hiyo kitu hivyo alilazimika kumtesti mmoja mwenye umbo kama lile, lakini hakuna kipya alichokiona.
Cha ajabu jamaa mwingine akadai maishani mwake hakuwahi kuonja demu mnene mweupe, alkini siku alipojaribu hakuona la maana na alijuta kumsaliti mkewe. Ila nilishangaa jamaa mmoja yeye alidai ana mpango wa kumtafuta 'albino' ili aone ananoganogaje maana hajawahi kujua utamu watu hao.
Nilichogundua ni kwamba kwa wanaume waliooa, wengi hupenda 'hutoka' nje si kwamba hawatosheki na wenza wao waliowaacha home bali ni suala zima la kutesti kile ambacho wenza/wapenzi/ wao hawana.
My Take: Wanawake kuweni makini, wengi wa wanaume hawako interested na mahusiano ya kudumu zaidi ya kujiridhisha nafsi kwa kuwa tu na mwanamke mwenye makalio makubwa, matiti makubwa, macho mekundu, lips pana na baada ya hapo hakuna jipya zaidi ya kuacha kilio kwa mdada kwa kuwa wengi huwa tayari wanao wake zao wenye sifa tofauti na hizi za matamanio!
I beg to submit