Tuta Absoluta
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 284
- 632
Hahaha.Niliogopa kuolewa na dada yangu tena Nyumba moja.
Sijawahi kuishi kwa shemeji lakini huwa najiuliza hivi siku dada akitimuliwa wote mnasepa si aibu hiyo?Wanaume wa Dar njooni mtoe ushuhuda
Kukaa/sio kwenda kwa dada aliyeolewa inahitaji ujitoe ufahamu.Hahaha.
Wewe unaolewaje mkuu.
Ndio hivyo mkuuSijawahi kuishi kwa shemeji lakini huwa najiuliza hivi siku dada akitimuliwa wote mnasepa si aibu hiyo?
[emoji23][emoji23] sasa ubaki joo ufanye nini. UtadundwaaSijawahi kuishi kwa shemeji lakini huwa najiuliza hivi siku dada akitimuliwa wote mnasepa si aibu hiyo?
Ngoja waje hao wa darNdio hivyo mkuu
Tuwasubiri..sis wa mikoan tushuhudie watakavyofungukaNgoja waje hao wa dar
Mkuu inamana wanaume wa dar ndo wanapenda sana kukaa kwa shemeji zao kuliko wa mikoaniTuwasubiri..sis wa mikoan tushuhudie watakavyofunguka
Kulingana na mtoa mada, sio mimi...Mkuu inamana wanaume wa dar ndo wanapenda sana kukaa kwa shemeji zao kuliko wa mikoani
Ni kweli mkuu hii kitu imezidi sana Dar.Mkuu inamana wanaume wa dar ndo wanapenda sana kukaa kwa shemeji zao kuliko wa mikoani
Aya bana ila wanaume wa dar tunakazi kwelikweli inabidi mtuombeeKulingana na mtoa mada, sio mimi...