Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 430
- 1,238
Ni kweli mwanaume bila mfume dume hauna chako sema ndio hivyo wameupakaza propaganda chafuUzi una ukweli flani hvi...
Mfumo dume pekee ndio unaoweza toboa..
EEEEEEEWANAUMEEE EEEEH!!
Mkuu unasemea vijana gani ?kama ni hawa wamtaani sawa nakubali ila hawa walioko chuo wengi kinawakuta nilivyoelezea kwa sababu wengi wao wamekaa kichipsi halafu niwaoga kukabiliana na matatizoNani kakudanganya, Sasa hivi kuna kundi la Vijana wavulana wanakuwa bila maadili , Wabishi haswa, hawa mabinti wenu mnaosema wanalelewa wakijua kila kosa ni mwanaume wacha waje wakutane nao, itakuwa Jinsia Gonganana.
Ni kweli mwanaume bila mfume dume hauna chako sema ndio hivyo wameupakaza propaganda chafu
Ruksa boss