Wanaume njoon mtoe jibu

Last edited by a moderator:
nakubaliana na ww
ila huwa nawashangaa hawa wenzetu, utasikia nina shida na elf 50. utafikiri hii hela ndogo na inakuja bure.
nadhani wanamwona mwanaume kama punda.



Ha ha ha alafu sidhani kama kuna mtu kila siku as in day in day out is full of cash to give away.....

Na man power is eternal but not money power......
Nilikuwa na close relative aliolewa na dereva wa daladala...
Coz she was seeking for money power not man power...mjamaa akajikakamua akawa ana azima kila kitu A to Z...
Demu kaolewa anakuja kuona hali halisi wanataka kuachana....
May her soul rip tough!
It wasn't easy!
 
Mbona tupo sana.........tunalima vitunguu........tunapeleka Kenya........tunauza........tunarudi kula bata na warembo..........
kwani kuna shida gani............
Preta wewe sio mwanaume.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…