Wanaume njoon mtoe jibu

Wewe unahangaika kupasua tofali mchana kutwa ,badala ya kuweka akiba ama ku"invest" una honga yote kwa lisaa?....lo!

Mwafrika kwa ubora wake.

Tumia pesa ikuzoeeee
 
Mbona tupo sana.........tunalima vitunguu........tunapeleka Kenya........tunauza........tunarudi kula bata na warembo..........
kwani kuna shida gani............

we sio mwanaume.
afu kulima vitunguu na kupeleka kenya sio kazi ngumu. coz mtu mwenye uwezo huo hafanyi kazi yeye. bali pesa humfanyia kazi.
 
kwani wale wa mererani hawaongi?we unaona kufyatua tofali ni kazi ngumu?umekulia masaki nini?hata kuvunja biscuti unamwita dada wa kazi?
we unaijua kazi tofali wewe? hasa hizi zinazofyatuliwa kwa mashine
 

mkuu najaribu kuvuta picha vijana wanavyohangaika kupata sh 10000 mchana kutwa afu jioni wanachomolewa kiulaini
 
Wewe unahangaika kupasua tofali mchana kutwa ,badala ya kuweka akiba ama ku"invest" una honga yote kwa lisaa?....lo!

Mwafrika kwa ubora wake.

yaani mkuu ukifikiria akiri ya mtu mweusi utashangaa
 
Daa iyo mbona kawaida..
Binafsi ni mzibua vinyesi.. ila waifu ailkiomba hata hela yote ya posho nampa yoooote.. samtyms sibaki hata na mia..
na mara nyingi ela zangu ananiekeaga yeye
 
alafu mbona mnamwonea mwafrika jamani... ulaya kabla ligi azijaanza si tulikua tunaona majembe ktk soka wanahonga mademu na kula nao bata kiroho safi..
Tyga mwenyewe kakomaaa kuchana mistari ila juzati kaonga lamborghini kwa mtoto mdogo w miaka 17 tu
 

nakubaliana na ww
ila huwa nawashangaa hawa wenzetu, utasikia nina shida na elf 50. utafikiri hii hela ndogo na inakuja bure.
nadhani wanamwona mwanaume kama punda.
 

wale wanahonga wanakumbuka hata kusave.
 
Daa iyo mbona kawaida..
Binafsi ni mzibua vinyesi.. ila waifu ailkiomba hata hela yote ya posho nampa yoooote.. samtyms sibaki hata na mia..
na mara nyingi ela zangu ananiekeaga yeye

mkeo tofuti na hawara au dada poa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…