acheni uzinzi. Subiri muolewe ndipo mmegwe. Mnahangaikia nini? Mwanaume hana akitafutacho zaidi ya kukutusua na akigundua uchi wako ni wa kawaida kama wengine anajiona mjinga alivyokuwa anahangaika kabla ya kukupata na anakudharau wewe uliyekuwa unamzungusha. Kama utapenda kuendelea kugawa uloda kabla ya ndoa, basi mtu akikuomba usimzungushe, mpe mara moja.
thanks tatiana
Ni sex then niwe huru ukiniona na Preta usinune nakuniletea kero eti kwa nini umekaa hapa na huyu ninani!!In fact sisi ni madakitari kazi nikutoa dose hope umenielewa okay??Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
15,na bado ninaishi........
15,na bado ninaishi........
Ni sex then niwe huru ukiniona na Preta usinune nakuniletea kero eti kwa nini umekaa hapa na huyu ninani!!In fact sisi ni madakitari kazi nikutoa dose hope umenielewa okay??
mahusiano ya mapenzi kwa ujumla ni sanaa. It's an art! Wanaume hukimbia kama you are not a donor but always a recipient . Give much of what you have and will get much of what he has. Period!!!
Hujatulia,nimesema wengi wao Aspirin,ntakugeuza panado,we endelea na kutokujibu hoja kutafuta uchokozi.............lol
Tunapenda kujua kwanini unaringa.,
Michelle.......haya maswali uliyowauliza kina kaka ni magumu na kwa kweli kupata jibu straight huwa ni ngumu na mwisho some of the majibu yao au reactions zao tunazichangia sisi wenyewe.............
1. Why wanabadilika after ku-do: Inategemea na jinsi Do yenyewe ilivyokuwa (Utashangaa nikikwambia hii haihusiani na kuwa mrahisi wa kumchojolewa wala nini). Unaweza ukakutana naye leo na kesho ukajikuta umechojoa!! Kama game ilikuwa exciting na mdada umejua namna ya kuifanyia haki ule usemi wa 'First impression is the one which lasts' basi atarudi tena na tena na tena. But unaweza ukamzungusha mwaka na siku unachojoa ukayavurunda ..hutomsikia tena. Si it depends na mdada mwenyewe how you handle the situation- che muhimu jua basics za kumfanya astick ambazo zinaapply kwa wanaume wote na zile specifics za yeye anataka/pendelea nini.
2. Hakikisha unatoa full package.........some challenging ideas (asikuone we mwanamke sura tu) Cheza kwenye anga zake show your brain (If you dont have one, buy time to borrow). HAve that sense of humour, be cheerful and an entertainer (Do not overdo though).
3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.
But sikatai, some are just jerks

Nimekuelewa Kakakiiza,sasa si muwe mnasema nataka sex then kama nikikupa uwe huru na Preta wako jamani?
napenda demu anizungushe kiaina. Nihangaike kidogo kumpata. Akinipa mambo fasta sana namimi namuacha fasta vilevile.