Wanaume nini tatizo?

Wanaume nini tatizo?

Tangu ilivyoingia tecnolojia, watu wakaanza kuiga wayaonayo kwenye mitandao ndipo tatizo lilipoanzia.

Kwasasa mioyo Ya tamaa za kila aina kwa wanawake zimewatawala.

Ukishajaa moyo wa tamaa, huwezi kuridhishwa na kitu chochote.
 
Back
Top Bottom