Wanaume nimewavulia kofia

wanaume ni choko sana

unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe

SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO

duh! Punguza hasira, iboreshe k yako.
 
Huyo marehemu lazima takuwa alikuwa mtu wa songea
Yalimpata mdogo wangu juzi juzi, sisi tulijua mdogo wetu ndie mke pekee wa shemeji, duh, bahati mbaya Mungu akamuchukua, mbona siku hiyo tulijionea vituko, tulichofanya tulimbeba ndugu yetu tukarejea home, tukawaachia msiba ndugu zake na hao wake wengine waliojitokeza siku hiyo


 
Sasa msimamishe msiba ili mfanyaje? mumuulize maiti?.....busara ni kuzika kwanza mambo mengine baada ya kuzika....hao waliowauliza hao kina mama Doreen yupi nao wambea kupita maelezo.....there is nothing new under the sun.....
interesting, isnt't?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…