Wanaume nimewavulia kofia

iyo ni VODA JAMAA unaunga mama doreen 10 then una twanga 2
 
Nmepata idea, maana nna wadada 3 wana ujauzito wangu, kwenye suala la majina umenisaidia, asante sana mleta uzi.
 
wanaume ni choko sana

unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe

SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO

ukiona manyoya....
 
Kama ni Kofia peke yake ( ur safe)
Kama ni nguo nyingine ( thr s two things invlve)

it either topdresses

or
indress


if it is topdresses ( ur safe)
if it is indresses ( two things involv)
it either ur safe.
or
Ur nw "Mama Doreen"
 
wanaume ni choko sana

unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe

SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO

Dah... Nimecheka sana, kuna jamaa mmoja aliwahi kuwa na kashfa serikali kitengo cha UWT.

Basi ndio zake, kila mwanamke anayemtongoza anampa ahadi ya kumuoa.
 

marahabaaaa,binti
 
Bora umevua kofia, kudadadeki, ungevua chupi uone
 
Naona mwishoni umechapia! Maziko yasimame kwa sababu mtu alikuwa na michepuko? Ingekuwa hivyo si wanaume wote waliotangulia mbele za haki wasingezikwa!
 

marahabaaaa............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…