Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Mkuu Vin Diesel habari za masiku bana
Umepotea sana aise nikajua mhusika wa story hapa ni wewe maana uliaga unaenda mtwara
Ila kwa wadada ukituringia sana naingia na gia ya kukuoa mwisho unaishia kama wa dada yetu hapa Heaven on earth mwambie Ngalikihinja huwa unanimiss bana asiweke kinyongo moyoni
charminglady ana mambo yake naaona siku hizi kaamua kuja na visa vya mtaani kwao na inaekelea mtaa wao una visa balaa
Sasa hiyo gesi mbona hatuioni Vin Diesel au uliiacha njiani
Nimeipenda hii.
Vipi hajaenda kwa sangoma kusafisha nyota?
Mashetani huwa wanakuwa na uhusiano na mashetani wenzao, sasa kama wewe ni binadamu ya nini kudeal na viumbe ambao si Kingdom yako? Na ukiona hawakupi usingizi kwa kuwainulia miguu yote miwili basi tambua na wewe ni mwenzao.
We bebi Heaven on earth, huyo mringie tuu.... Mambo yote iko hukuNgalikihinja I miss you,ila mambo ya kuniweka Pending weekend uyaache.......
Mr Rocky itanidi nipunguze kuringa,
Njengo tena..HaahahaaaaaaaaaaHuko ndo atakoma......anaweza kuambiwa dawa inapakwa kwenye njengo alafu amuingize ndo nyota inasafishika.Hapo tayar ushagongwaaaaaa!!!!!!
Nimefurahi kurudi na kumkuta charminglady....yupo anagonga like bila kusema chochote juu ya ujio wangu....
Hii inaitwa heka heka ya Amani aka Mr Rocky....gesi haitoki mkuu....
Lady doctor my wii uko wapi,njoo umalizane na Vin Diesel keshatia tim ndani ya nyumbaEeeh... Lady doctor yu wapi hivi.....tuna unfinished business....
Kadalikwa sasa akalale nachooooo-kombolela hilo butua mchezo uishe!!!!!!!
Mwanaume mwingine ukijifanya mgumu hata kwa baba yako anakwenda na mali anatoa,akikuhakikishia hayo tu basi umelamba joker na mchezo umeisha.!!!!
Unafanana kwa kila kitu na mimi ndiyo maana sitakuacha mpaka wote tutembelee mikongojo. Unanipa sababu ya kukupenda kila iitwapo leo.Both sexes are equally capable of doing harm.......,
bado nasubiria muendelezo
Njengo tena..Haahahaaaaaaaaaa
dah sasa mbona tushatega mitambo yetu kupokelea gesi tutaifanyaje Vin Diesel
halafu charminglady aalikuwana anasema eti mpaka leo yuko single kwa sababu yako
Afadhali maana tulijua sehem ya pili mpaka mwakani
Ila jamaa wa kimakonde kaachwa solemba inawezekana hata kuonja hakuonja kisa anasubiri siku ya kumuona mrembo wake kakosa mwana na maji ya moto hapo
Njengo tena..Haahahaaaaaaaaaa
Lady doctor my wii uko wapi,njoo umalizane na Vin Diesel keshatia tim ndani ya nyumba
anakuja any time
Mashetani huwa wanakuwa na uhusiano na mashetani wenzao, sasa kama wewe ni binadamu ya nini kudeal na viumbe ambao si Kingdom yako? Na ukiona hawakupi usingizi kwa kuwainulia miguu yote miwili basi tambua na wewe ni mwenzao.