Wanaume nijibuni..

Mfano mimi huwa napenda wenye chura na vimbaombao kwa mpigo,sasa kama wewe ni mpenzi wangu na una chura halafu nikamwona kimbaombao nitaachaje kumpenda kwa mfano!![emoji28][emoji28][emoji28]
Unapenda sana onja onja wewe eeehh....!!!??
 
kwani ukipenda cocacola huwa upati kiu kunywa pepsi maramojamoja?
 
haya maisha hayana formula kabisa, but all in all original is the best
mchepuko is just a spare tire
Yes, na wengine huwa wana status zote mbili... Huku njia kuu na huku mcheps...
 
Dada wanaume wote duniamzima wako hivyo yani hayupo mwanaume ambae anaetosheka na mwanamke mmoja tu..! never...
 
hahahahhahaha yaani dunia imeisha kabisaaa
cjui tuwaiteje hawa, orimchepuko
Halafu cha ajabu wote tunakataa... Yaani ukisikiliza watu wanavyokataa, unaweza ukadhani hakuna michepuko
 
Unapenda sana onja onja wewe eeehh....!!!??
Hapana rafiki ila wenye chura na mbaombao wote ni watamu,sasa nitafanya nini?![emoji53][emoji53][emoji53].......nitulie tu niteseke kimyakimya??[emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…