Hakuna mwanume alioa na ana michepuko sita!Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda.
Unakuta mwanaume ana majukumu mengi, mara nyingine hata anawahudumia wanawake kadhaa kwa namna mbalimbali. Si kwamba kila kitu kinakuwa kamili kila siku, lakini wengi hujitahidi kadiri ya uwezo wao.
Unakuta mwanaume ameoa wake wawili na anamichepuko sita hivi na wote wanapata wanayoyahitaji.
Binafsi nawaombea wanaume wote Mungu awazidishie afya, nguvu na riziki ili waendelee kutimiza majukumu yao.
Ila niulize tu ..
Hizo pesa za kuhonga huwa mnazitoa wapi?
Ninunulie please!
DUNIA BILA WANAUME, WANADAMU WANGEKUWA WANAISHI KWENYE MAISHA YA KARNE YA KWANZA.Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda.
Unakuta mwanaume ana majukumu mengi, mara nyingine hata anawahudumia wanawake kadhaa kwa namna mbalimbali. Si kwamba kila kitu kinakuwa kamili kila siku, lakini wengi hujitahidi kadiri ya uwezo wao.
Unakuta mwanaume ameoa wake wawili na anamichepuko sita hivi na wote wanapata wanayoyahitaji.
Binafsi nawaombea wanaume wote Mungu awazidishie afya, nguvu na riziki ili waendelee kutimiza majukumu yao.
Ila niulize tu ..
Hizo pesa za kuhonga huwa mnazitoa wapi?
Ni Sawa nimetoa tu mfano hapo..japo wapo wenye pesa na wanawake wengiHakuna mwanume alioa na ana michepuko sita!
Huyo sio mwanaume mstaarabu bali ni mwanaume maskini na mzinzi ..
Huyo anaukaribia umaskini na magonjwa yapo mlango kwake..
Limeisha hiloπNinunulie please!
Hii nimeipenda
Uko sahihiiHata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda.